Elections 2010 Ukweli kuhusu mke wa rais na kampeni

Slaa anachumbia mtalaka na huyu wa Kikwete ni nini?



Rahma Al Kharoos mkurugenzi wa kampuni ya mafuta na madini ya RBP Oil anayesemekana kuwa mke wa pili wa rais wenu.
Bila shaka watanzania wengi wanajua kuwa rais wao aliyemali muda wake Jakaya Kikwete ni Toboatoboa au tuseme Chovyachovya kuanzia Makongo Sekondari, Chuo Kikuu cha Dar es salaam,Sinza Kijiweni hadi nje ya nchi.

Ingawa CCM wanaona kama wamegundua silaha ya nyuklia ya kummaliza Dk Wilibrod Slaa kwa sababu aliachana na mama aliyezaa naye, jambo ambalo hafichi, wajue mtu wao, katika hili la ndoa, hana salama.
Tutaanza kuwaletea nyumba zake ndogo na baadaye tutaleta hata vyangudoa wa mitaani ambao amewahi kuparamia.

Tukimaliza hili, tutakuja na mgogoro wa kuanguka ambao ni ushahidi tosha kuwa afya yake ni ugogoro mtupu ingawa yeye na waramba viatu wake wanaficha.

Tuanze na hawara yake Kikwete anayejiweka weka kwenye udhamini wa mambo fulani fulani huku akimuigiza Salma Kikwete kumpigia kampeni mtu wake.

Hata Salma hatanusurika. Waliofundisha naye wako na wana data zake zote hata na alivyokutana na JK kwenye mazingira ya kutia kila shaka. Hapa bado hatujaenda kwao umakondeni na kuja na data nyingine nyingi tu. Hapa bado hatujagusia vimada waliojazwa kwenye ukuu wa wilaya na sehemu nyingine nyeti serikalini. Hapa bado hatujakuletea aliozaa nao na wanaharamu wake. Hapa bado hatujavinjari kila kona inayojulikana. Na CCM wajue. Tunapata data zake sawa na tulivyopata za EPA-wanaomjua wengi wako tayari kujitolea kuanika uchafu wake.
Hapa hatujagusa biashara zake na mambo mengine machafu kuliko hata hayo.
Inzi ana hekima moja kuu. Anasema. Ukijua huu naujua ule


source:- www.mpayukaji.blogspot.com
 
Yeye badala ya kumuingilia mumewe katika maamuzi ya kuongoza nchi, aliamua kuunda ka-serikali kake pembeni na kukaongoza kwa ufanisi mkubwa. Tunamjua Ben, haingiliki, hata ukimwuliza Manji anajua! Kwa hiyo ilikuwa ni busara kwa Anna kuamua kutomwingilia katika masuala ya kuongoza Serikali.

Mafiosi wanakwambia every man has a price, mtunzi wa kitabu "All The King's Men" Robert Warren, kaandika ""Man is conceived in sin and born in corruption and he passeth from the stink of the didie to the stench of the shroud." Everybody is short when probed closely, some you have to probe closer than others though.

Mkapa aliingilika, alikuwa ana jinsi yake na watu wake. Mbona Andy Chande alimpa Range Rover 5.0 na hakuikataa wala nini, ilikuwa imeegeshwa pale Sea View ? Kusema Mkapa hakuingilika labda mmaanishe alifanya alichoamua, siyo kwa maana ya kwamba alikuwa hakubali mlungula, impression inayotolewa na hilo jina la mfanyabiashara.
 
Wenzetu Wazabia wamempereka mahakamani mke wa Rais Lupia Banda kwa matumizi mabaya ya Pesa zao. Wanadai anatumia pesa zao kumkampenia mumewe.Mama JK anautumia mali ya umma kumkampenia mumewe. Tuna mwangalia tu. Vipi wanasheria wa upinzani hamjaliona changamkieni tenda. Au katiba yetu inamtambua?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom