Salma kikwete na kampeni za ccm,majirani zetu zambia wamshtaki wao,wanasheria mpo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salma kikwete na kampeni za ccm,majirani zetu zambia wamshtaki wao,wanasheria mpo?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Phillemon Mikael, Sep 12, 2010.

 1. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #1
  Sep 12, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280
  [​IMG]First Lady Thandiwe Banda

  Two women from Chinsali and Isoka have sued First Lady Thandiwe Banda over her money-dishing trips to various districts in the country without any Parliamentary budgetary allocation.

  Evelyn Kangwa of Kalalantekwe Village in Chinsali district and Marjorie Nakaponda of Chiwanda Village in Isoka district, have sued Thandiwe in the Lusaka High Court over her recent charity trips to some districts of Northern Province.

  Attorney General Abyudi Shonga has been sued as the second defendant, pursuant to the provisions of the State Proceedings Act, Cap 17 of the law of Zambia.

  In a statement of claim filed in the Lusaka High Court on September 8, 2010, the two women stated that since Thandiwe moved into State House or before that she had not registered any non-governmental organisation (NGO) for whatever purposes.

  “As a spouse of the President of the Republic of Zambia the 1st Defendant (Thandiwe) has no official status in the government or legal functions to perform for and/or on behalf of the government, ministries of government or departments,” the two women stated.

  “From the year 2009 to date the 1st Defendant has undertaken personal trips without the company of the President of the Republic of Zambia to various districts in the country, visiting traditional rulers and purported clubs of women giving out amounts of money and various items and goods as gifts which moneys, in the absence of any express disclosure of the source by the 1st Defendant, is money from the treasury of the Republic of Zambia.”

  The two women stated that these trips by Thandiwe involved the use of government motor vehicles and at times helicopters from the Zambia Air Force.

  “In the month of August 2010 alone, the 1st defendant has visited Mpulungu District, Mbala District, Mpika District, Nakonde District, Chiengi District, Isoka District and Chinsali District using two Zambia Air Force helicopters in some districts,” the statement of claim read further.

  “During the 1st Defendant’s visit to Chiengi District, she expressed gratitude to the people for voting for His Excellency the President in the 2008 presidential by-election and urged them to vote for him in 2011 presidential elections.”

  The duo stated that apart from the President and the Vice-President, no government officer or private person, Thandiwe included, was entitled to the use of government facilities for political campaigns or canvassing for political support.

  “In Isoka and Mpulungu, the 1st Defendant was involved in the distribution of the Movement for Multiparty Democracy (MMD) chitenge material which she transported using government transport or motor vehicles,” the two women stated, adding that since the recurrent expenditure falled within the realm of public expenditure, the Attorney General had an obligation to disclose to the public the amount of moneys spent by Thandiwe on her trips referred to in this action.

  And the two women are praying for a declaratory judgment that the purported office of the President’s spouse as First Lady is not provided for by law and therefore, superfluous to the Office of the Head of State or any Ministry of government or department.

  “A declaratory judgment that the moneys being disbursed and moneys spent on the goods being distributed by the 1st defendant to women clubs and other groups of persons in districts around the country in the absence of disclosure of the source constitutes unauthorized and/or unbudgeted for expenditure by the government of the Republic of Zambia,” they stated.

  The women also claim a declaratory judgment that in the absence of moneys appropriated by Parliament in the annual budget for the President’s spouse, any government expenditure incurred by Thandiwe outside that of the President when she is part of his entourage is illegal at law.

  “An order to account against the 2nd defendant for all government moneys disbursed to the 1st defendant and her entourage during her visits to the districts in 2009 and 2010 including the costs of transport thereof,” the two women stated. “An order of interim injunction, costs and any other relief the court may deem just.”

  Making a ruling in the matter in chambers, Lusaka High Court judge Philip Musonda stated that it was an application for ex-parte injunction.

  “I have read the affidavit in support. I think this is a matter for inter-parte and the matter will come up on 24th September 2010 at 09:00 hours. Parties may file skeleton heads of arguments and authorities,” stated judge Musonda.  wapo wapi wanasheria shupavu wamshtaki huyu mzururaji hapa anayetumia pesa za kodi yetu ......na kupokewa na viongozi wa kiserekali wakati katiba haimtambui.......kesi nzuri sana hii ...ya ufujaji wa mali za umma!!

  source:- http://postzambia.com/post-read_article.php?articleId=13577
   
 2. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #2
  Sep 12, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  tusubiri
   
 3. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2010
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Sure, kwa mbali naona kidume Marando mate yanamdondoka hebu tumwachie kazi hii kwanza
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Hahaaaaaaa
  Na kampeni zake za shuka kwa shuka
   
 5. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #5
  Sep 12, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280
  ...eh..eh..sasa huko kwenye shuka wanafanya nini...maana salma anaendesha kampeni za ndani na vikao vyake ukiacha viongozi wa mikoa wa chama na serikali na wagombea anakaa na kinamama tu...kila mkoa anaopita.its like kitchen party...tujiulize anawaelekeza wake zetu ,dada na mama zetu wakafanye nini huko kwenye shuka????..rushwa hiyo!!!...anawakuwadia...mbona yeye haendi huko kwenye shuka kwa shuka ..anabaki kuwatuma wenzake!!?
   
 6. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bi Salma anadhani shuka ndio fani yake anayoimudu, ndo maana anaitangazia kwa wenzie waitumie barabara
   
 7. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Hivi First Lady wa US kwa mfano, anavyokwenda kwenye charity events peke yake , huwaje? Kuna tofauti yoyote na hizo safari za First Lady wa Zambia?

  Hili ni swali genuine, na nataka kupata paralells. Najua Wamarekani hawakopeshani na wanakabana sana kwa mambo ya wakubwa kutumia ovyo pesa za walipa kodi, kwa hiyo tutakuwa na mengi ya kujifunza kwao.

  Kwa charity events, na mambo ya kijamii nzima ya Tanzania mimi sioni tatizo. Lakini unapoingiza mambo ya kampeni za CCM, nafikiri si mke wa rais tu, hata rais mwenyewe inabidi apunguze matumizi ya kiserikali na kubakiza yale ya ulinzi na yasiyopunguzika tu.

  Nasema hivi kwa sababu swala hili linanipa matatizo sana kuamua. Kwa sababu kwa upande mmoja nisingependa mke wa rais ashindwe kwenda kuwafariji watu kwenye maafa ya mafuriko, watoto yatima etc eti kwa sababu tu hayumo katika katiba. Kwangu mimi ingawa hatuchagui mke wa rais, lakini kiutamaduni wetu mke na mume ni kitu kimoja, ukimchagua rais unampa heshima za kirais mke wake. Siwezi kukukaribisha kwangu nikamkataa mkeo. Kwa hiyo unless mtu anaonyesha gross misuse, you cut a first lady some slack. You don't want the first lady to be unpresidential. Sitaki kuona mke wa rais anajiendesha mwenyewe katika ki pick up kwenda kwenye charity event, bila ulinzi, eti kwa sababu hataki kutumia pesa na ulinzi wa umma. Akitekwa na maharamia na kubakwa je? Aibu si itakuwa kwa nchi nzima ?

  Naelewa kwamba tunafuata utawala wa sheria na kila mtu inabidi ahasibike kwa wananchi. Kama mke wa rais ana bajeti inayopitishwa na bunge kama sehemu ya bajeti ya ikulu, sioni tatizo kuitumia bajeti hii katika shughuli za jamii.Mke wa rais hawezi kuwa mama wa nyumbani kujifungia Ikulu, na rais anaweza kuhitaji msaada wake katika shughuli ambazo hazihitaji uzito wa wadhifa wa kirais kama kutoa misaada. Lakini kama fedha hizi ni fuba tu lisilo na kipimo tutaleta wizi na mambo ya kutumia pesa za umma kupigia kampeni za CCM, hili ni la hatari.

  Kwangu mimi accountability ndiyo kitu kikubwa. Bajeti zikishapitishwa, huwezi kumlaumu sana anayezitumia kama kazitumia kwa sababu zilizopangwa, kama hupendi laumu wanaopitisha.

  Kwa hiyo hapa kuna swala hili linalojinyumbulisha

  Mke wa rais anatumia fedha na mali zilizopitishwa kibajeti ? Ukiongelea bajeti unaongelea kiasi cha matumizi, muda wa matumizi na shughuli za matumizi, je matumizi haya yanafuata bajeti hii ?

  Kama matumizi yanafuata bajeti, mke wa rais hana hatia sana, anatumia alichopewa tu. Lakini hili halina maana kwamba kesi imekwisha, mtu mwingine anaweza kusema bajeti yenyewe imekaa vibaya, imempa pesa nyingi bila maelezo (kwa mfano under "miscellaneous" anaweza hata kuwapa hela waganga wa Mlingotini Bagamoyo kama ada za kazi zao kusafisha Nyota ya rais, bila kuulizwa) kwa hiyo hata baada ya nbajeti kupitishwa tunaweza kuitafuta na kuona kama kuna mapungufu, tukawatafuta wabunge gani walioipitisha na wepi waliikataa, tukawaadibisha katika kupiga kura kwa kuwaeleza wazi kwamba hatufurahii ulelemama wao katika kusimamia matumizi ya kodi zetu, tukawaondoa na kuweka wepya kwa masharti kwamba watasimamia uzuri matumizi haya.

  Hivo ndivo inavotakiwa kuwa kinadharia, nadharia ambayo inaweza kuwa mbali sana na hali halisi ukizingatia hali yetu ya kielimu na mwamko wa siasa na mambo ya uraia.

  Nina mashaka kama bajeti ya mke wa rais au ofisi ya rais inapatikana kirahisi, unaweza kukutana na kizingiti cha "Usalama wa Taifa" kama vile kujua matumizi ya mke wa rais kutatoa siri za silaha zetu za kijeshi.

  Na hata ukizipata, zitakuwa ni geresha za "mchezo wa wiki" tu, zisizofuatiliwa wala kujaliwa, kama bajeti nzima ya serikali ilivyo kichekesho cha kikatili.
   
 8. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  wapo wapi wanasheria shupavu wamshtaki huyu mzururaji hapa anayetumia pesa za kodi yetu ......na kupokewa na viongozi wa kiserekali wakati katiba haimtambui.......kesi nzuri sana hii ...ya ufujaji wa mali za umma!!
  Wapi LISU TUNDU
   
 9. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #9
  Sep 12, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280
   
 10. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  "The Office of the First Lady of the United States is accountable to the First Lady for her to carry out her duties as hostess of the White House, and is also in charge of all social and ceremonial events of the White House. The First Lady has her own staff that includes a Chief of Staff, press secretary, White House Social Secretary, Chief Floral Designer, etc. The Office of the First Lady is an entity of the White House Office, a branch of the Executive Office of the President."
   
 11. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Katika kuendeleza kanuni za kuhasibika moja kwa moja ingefaa na sisi kama tunataka ulimbwende huu mpya wa kinamama, tuanzishe ofisi rasmi zenye bajeti na nyajibu rasmi.
   
 12. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  That is the thing, lakini sasa kama marais wenyewe ndiyo type ya Jk, wht do you think of their spouses?
   
 13. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Swala ninaloliibua hapo sio swala la mke wa rais. Huwezi kuchagua mke wa rais, rais wakati wowote anaweza kumtaliki mke wake na kuoa mwingine, kwa hiyo ku focus kwenye mke wa rais ni tatizo.

  Hata kufocus kwenye the person of the president ni tatizo, kwa maana unaweza kuwa na rais mzuri leo, akawa na mke mzuri asiye na matatizo, ukaona hatuna haja ya sheria hii. Kesho akaja rais kituko na mke kituko kikubwa zaidi.

  Ndiyo maana wenzetu walioendelea wame institutionalize haya mambo, wameweka ofisi rasmi zenye miongozo rasmi. Na watu wenye wajibu mkubwa kabisa wa kulinda matumizi ya fedha zao za kodi ni wananchi. Rais na mkewe wanafaidika kwa kodi yetu kwa hiyo mimi siwategemei wawe mstari wa mbele sana kutaka mabadiliko ya kuwabana wao wenyewe (unless wanapata pressure na wanataka kura na kujionyesha kwamba wanajali).

  Kwa hiyo hii si kazi ya rais, wala usimtegemee rais, mkewe, baraza la mawaziri (ambalo nalo linakodolea macho ukubwa na kutokuhasibika) usiwategemee hawa watu walete jipya. Ni wananchi wenyewe kwa kupitia vyombo vya elimu ya uraia na elimu ya kiuchumi tu ndio wanaoweza kuleta pressure kwa wabunge wao wabadilishe haya mambo.

  Hivi sasa hivi wakati wa uchaguzi, tunajua kwamba kuna petition yoyote inayopitishwa kuwabana wabunge wanaokuja kuifanya vitu ffulani? Au tunasubiri kusikia ahadi zao (zisizotekelezeka) tu ?

  This is a time for some more bottom up involvement in governance. Ukimtegemea rais utalala doro na ahadi kila siku.
   
 14. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #14
  Sep 12, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280
  ofisi ikiwepo kama institution haya yote yatawezekana........
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Right,

  Lakini ninachosema katika hiyo post ni kwamba institutionalization haiwezi kuja bila kudaiwa na wananchi. Msitegemee Kikwete awapende sana afanye jitihada za kuleta mabadiliko yatakayompunguzia nguvu mkewe bila kulazimishwa kufanya hivyo.
   
 16. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #16
  Sep 12, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280
  Slaa anachumbia mtalaka na huyu wa Kikwete ni nini?  [​IMG] Rahma Al Kharoos mkurugenzi wa kampuni ya mafuta na madini ya RBP Oil anayesemekana kuwa mke wa pili wa rais wenu.
  Bila shaka watanzania wengi wanajua kuwa rais wao aliyemali muda wake Jakaya Kikwete ni Toboatoboa au tuseme Chovyachovya kuanzia Makongo Sekondari, Chuo Kikuu cha Dar es salaam,Sinza Kijiweni hadi nje ya nchi.

  Ingawa CCM wanaona kama wamegundua silaha ya nyuklia ya kummaliza Dk Wilibrod Slaa kwa sababu aliachana na mama aliyezaa naye, jambo ambalo hafichi, wajue mtu wao, katika hili la ndoa, hana salama.
  Tutaanza kuwaletea nyumba zake ndogo na baadaye tutaleta hata vyangudoa wa mitaani ambao amewahi kuparamia.

  Tukimaliza hili, tutakuja na mgogoro wa kuanguka ambao ni ushahidi tosha kuwa afya yake ni ugogoro mtupu ingawa yeye na waramba viatu wake wanaficha.

  Tuanze na hawara yake Kikwete anayejiweka weka kwenye udhamini wa mambo fulani fulani huku akimuigiza Salma Kikwete kumpigia kampeni mtu wake.

  Hata Salma hatanusurika. Waliofundisha naye wako na wana data zake zote hata na alivyokutana na JK kwenye mazingira ya kutia kila shaka. Hapa bado hatujaenda kwao umakondeni na kuja na data nyingine nyingi tu. Hapa bado hatujagusia vimada waliojazwa kwenye ukuu wa wilaya na sehemu nyingine nyeti serikalini. Hapa bado hatujakuletea aliozaa nao na wanaharamu wake. Hapa bado hatujavinjari kila kona inayojulikana. Na CCM wajue. Tunapata data zake sawa na tulivyopata za EPA-wanaomjua wengi wako tayari kujitolea kuanika uchafu wake.
  Hapa hatujagusa biashara zake na mambo mengine machafu kuliko hata hayo.
  Inzi ana hekima moja kuu. Anasema. Ukijua huu naujua ule


  source:- www.mpayukaji.blogspot.com
   
 17. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimetoka huko kwenye blogu la mpayukaji, duh jamaa anamwaga nondo za ajabu. Nakiri sasa kuna kuna watu wengi wenye uthubutu. Na haya ndio mapinduzi ya kweli
   
 18. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #18
  Sep 12, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280
  kwenye moja ya mabango yaliyochafua nchi huyu mama nimekumbuka kumuona akiwa kapiga picha na JK.....Na jingine lipo jirani na chuo kikuu nafikiri yupo picha ya pamoja na JK na Timu ya TWIGA STARS....ndie aliyepewa deal la kujenga bomba la mafuta kwenda mwanza ......connecting to UGANDA ....
   
 19. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #19
  Sep 13, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280
  watanzania wa jana kweli sio wa leo,,,
   
 20. M

  Mkandara Verified User

  #20
  Sep 13, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Ukisha mpa mke wa rais Hadhi ya Firstlady tayari unamkabidhi kazi kulingana na role ulompa. Kama huyu Mama wa zambia anajulikana kama FirstLady hivyo tradition ya Firstlady lazkima ikubalike ambayo ni pamoja na kumwakilisha rais mikoani iwe hata kukutana na traditional rulers..
  Mimi sioni kabisa ushindi kwa hawa kina mama ingawaje wanachokitazama wao ni kutokuwepo chombo kama NGO lakini washindwe kuelezea role ya mke wa rais, matumizi ya shughuli zake zote iwe kusafiri au jambo lolote hulipwa na nani?

  Kwetu hapa Bongo kusema kweli alofanya Bi Salma ni kinyume cha sheria kwani Firstlady wote duties zao zinawakataza kuingilia SIASA.. sasa maadam bibie kaweza kwenda kinyume kabisa cha sheria na pengine hata kutumia NGO ambayo ni non - government agency akatumia fedha zake kama an agency wa serikali hapo anakabiliwa na shitaka kubwa sana kuliko hata lile la JK kutoa ahadi za Uongo...
   
Loading...