Elections 2010 Is someone already on WIRE-GANZI

Malunde-Malundi

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
1,288
130
Wajumbe je tayari hoja zimekosa kwa mkuu wetu maana ameahidi yote sasa yameisha na hana jipya tena? Je tayari ganzi inaanza kuingia taratibu na kila kisemwacho ni ahadi za miaka iliyoopita au bondia anaanda mbimu tena?; huenda kampeni zikakimbiwa mwaka huu; yetu macho

Je coverage ya Dr Slaa kwa sasa ni danganya toto ya vyombo vya mafisadi au wamegundua kuwa huwa wakimweka jamaa watu hutoa hiyo link (TV?) maana for two days there is something news in TVs hadi Chanel Ten wametoa hotuba yake kwa mara ya kwanza (hopeful maana sijaona)

Kila palipo na ukimya wa Mkulu huwa kashfa mpya inaibuliwa (kumbukeni mapumziko ndio wakaibua issue ya Kesi ya bilioni moja); ngoja tuangalie in next few days au ndio zile za zamani kumfumania Dr Slaa ili kumharibia kama walivyotia hofu kabla naye akawajibu kama wanavyotaka

Dr Slaa Go Ahead; Go Ahead; Go Ahead; we are on youer behind for good of our Tanzania
 
Kikwete kaambiwa kuendelea kutoa ahadi kila aendapo ni uchuro hadi katungiwa jina Mr. Ahadi kama siyo Dr. Ahadi. CCM kama chama wameishiwa pumzi walikuwa na hoja mbili tu ya upadri na ndoa. Kuhusu vyombo vya habari vimeona biashara inakwenda kushoto inabidi waandike hali halisi wanalazimishwa na upepo ingawa hawapendi.

Inawezekana pia ni Exit strategy.
 
Kikwete kaambiwa kuendelea kutoa ahadi kila aendapo ni uchuro hadi katungiwa jina Mr. Ahadi kama siyo Dr. Ahadi. CCM kama chama wameishiwa pumzi walikuwa na hoja mbili tu ya upadri na ndoa. Kuhusu vyombo vya habari vimeona biashara inakwenda kushoto inabidi waandike hali halisi wanalazimishwa na upepo ingawa hawapendi.

Inawezekana pia ni Exit strategy.

Inawezekena wanalazimika kuendana na survival strategy, "if you can not fight them, join them". Hata hivyo CHADEMA wawe makini na mikakatia ya mafisadi ya kuachia kidogo halafu wanalipua kama walivyofanya huko nyuma. Wanajifanya kutoa coverage nzuri halafu baadaye wanapata nafasi ya kumwaga upupu wao!
 
Inaitwa kung'ata na kupuliza; ya hiyo hata mimi nina wasi wasi; Chadema ikumbuke tu mambo ya CUF-2005 na visu vyao kama kisingizio/MREMA (that time) etc. Thinker lazima wajiandae na hii tahadhari mhimu muda wote wajiandae kwa lolote; JK hana simile ktk kuhakikisha anatawala maana hana kazi ingine

Kama kakatazwa mdahalo rasmi nahisi muda si mrefu watamkataza hata kuongea upupu
 
Back
Top Bottom