Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Maggid Mjengwa, KUNA kisa cha mwana wa gavana katika Misri ya Kale. Mwana yule alitembea akijivunia cheo cha baba yake. Akajawa kiburi kufikia siku moja kumdhalilisha mwalimu wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dk. Willibrod Peter Slaa 1. Anachokisimamia Dk Slaa anasimamia maadili, uadilifu, umakini na uwajubikaji katikaü uongozi wan chi na utendaji serikalini. Dk. Slaa anaamini kuwa Watanzaniaü...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tumekua tukiambiwa na kutadhaarishwa kila siku juu ya kuchanganya dini na siasa. Lakini mwaka huu 2010 ambao ni mwaka wa uchaguzi kwa nchi yetu inaonekana wazi maswala ya dini kutawala uchaguzi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Sasa naona ameamua kununua air time chanel ten ili kujitangaza kitaifa kama bado yupo,ni aibu kwa kituo cha habari kirudia habari moja kwa siku mbili mfululizo,na kikubwa ya tukio linalofanana,na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wale walioko nje na hawakubahatika kuiona hii basi ipitieni hii hotuba. Mtasikia jinsi watu walivyoambiwa (TUCTA) kuwa watakula virungu vya FFU..... Mkwara ulisaidia kwani TUCTA waliogopa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani wana JF Nimesikia kuna habari kwamba JK katika moja ya mikutano yake ya kampeni amesema wanoishi na VVU eti ni "Kiherehere chao" ndiyo kimewaponza? Nasikia kulikuwa na video za mkutano huo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Viongozi wa kisiasa na kidini ambao kwa sababu binafsi au nyinginezo wamekuwa mstari wa mbele katika kumpigia debe mwasisi wa taifa hili awekwe kwenye njia ya kutangazwa mtakatifu kwa hatua ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimejaribu kuangalia magari kama 100 yakipita hakuna hata moja lililoweka bendera ya ccm kipindi hiki cha uchaguzi kama ilivyokuwa kawaida kwa miaka mingine,kulikoni jamani,hata watu wa ccm...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani eeh! Kuna mwalimu fulani yuko mafunzoni katika Chuo kimoja wapo hapa nchini. Hivi majuzi alinitumia ujumbe wa simu ambao ulinifanya nijiulize mara mbili kama anastahili kufundisha mtoto...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Maji safi ya kunywa kwa kila mtu:
0 Reactions
66 Replies
13K Views
WANA JF, SIELEWI NA WALA SIJUI KIBURI HIKI CHA BARABARA YA KUPITIA SERENGETI KWENDA MUSOMA WALICHO NACHO KIKWETE NA LOWASSA WANAPATA KUTOKA WAPI. MAREKANI WALIKAA KIKAO SIKU TANO KUJADILI HATHARI...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Bango moja la JK liko pale nyuma ya Ocean Road hospital au kama unaelekea NIMR au kwa Mkemia Mkuu wa serikali; lina picha ya JK na mwanamke ambaye inasemekana ni mama yake mzazi, halafu lina...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Mdahalo wa Wabunge watarajiwa vijana toka vyama vya siasa ambao CCM wameukacha, baadhi ya dondoo zilizozungumzwa ni PART 1 na PART 2 kwa hisani ya TANGIBOVU WA YOUTUBE: Kuchochea vijana kugombea...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Dk. Willibrod Peter Slaa 1. Anachokisimamia Dk Slaa anasimamia maadili, uadilifu, umakini na uwajubikaji katika uongozi wan chi na utendaji serikalini. Dk. Slaa anaamini kuwa Watanzania...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Kiongozi wa dini anayetambua nafasi yake hawezi kusema au kushawishi kumchagua kiongozi fulani. Ndicho walichofanya viongozi wetu hawa wawili wa imani. Askofu Kakobe ameonyesha msimamo gani tuwe...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeweka title kali kidogo kwa sababu nataka kudraw attention ya wadau wa CHADEMA. Actually mi ni mdau wa CHADEMA na niko huku jimboni, bega kwa bega na mgombea ubunge tunapambana na mwanaccm...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
hatutaki kuona yaliyotokea kenya uchaguzi uliopita yanatokea hapa kwetu kwa kuwa na tume inayolinda maslahi ya wakubwa,wito wangu kuwa hakuna sababu za kuyatangaza kwa pupa matokeo huku mazingira...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…