Elections 2010 Aaaah!! Hii Gumu Banaaaa!!!!

Kikwete pia alishawahi kuuliza swali hili katika moja ya mikutano ya kimataifa. Inashangaza sana kama kiongozi wa nchi mwenye maamuzi ya mwisho anaweza kuuliza swali hili, eti naye hajuwi kwanini tu maskini ili hali tuna utajiri mwingi wa kila aina. Mhhhhh! Kiongozi wa namna hii bado watu wanampigia kura, unatarajia nini sasa kutoka kwake?
 
dunia ingekuwa mahali pema pa kuishi endapo ukiamka asubuhi unaenda kuchimba dhahabu unaenda sokoni unauza jioni unarudi na fedha lukuki za kuendesha maisha. Unfortunately in the real world things are not that straight forward lots of challenges. Worse still most people don't like to hear this side of the story. It cpuld be wise if you come out with suggestions as to how we get practically get out of this situation.
 
Hao ndio Watanzania bwana! Wanadhani kuwa na almasi ardhini automatically translate to sold gold and automatically translate to social services!

To have gold a mineral is one thing, and to have gold that sold at the market is another thing!!!

Kuna waheshimiwa wamesema watato elimu bure kwa sababu ya madini! Tena madini ambayo hata hayajachimbwa politics is b**sh**t game.
 
mmh minajiskia kuhama hama nchi!!'
sjui nihamie wap?
nshachoka mie:smile-big::smile-big:!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom