Hala hala tume ya uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hala hala tume ya uchaguzi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by urasa, Sep 28, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hatutaki kuona yaliyotokea kenya uchaguzi uliopita yanatokea hapa kwetu kwa kuwa na tume inayolinda maslahi ya wakubwa,wito wangu kuwa hakuna sababu za kuyatangaza kwa pupa matokeo huku mazingira ya rafu yameanza kujionyesha tangu sasa,wapo waangalizi wa uchaguzi wa ndani na kutoka nje ya nchi,nitashangaa kama matokeo ya tume ya uchaguzi yatapishana na yale ya waangalizi wa uchaguzi wawe wa ndani au nje,wote tutapita ila tz haitapita,tume wekeni maslahi ya umma kwanza
   
 2. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2010
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Kama vile nimepotea kiaina kwenye hiyo hoja hapo...i thought ni tamko la tume ya uchaguzi
   
Loading...