Ni kweli kikwete amesema wanaoishi na vvu ni "kiherehere chao"? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli kikwete amesema wanaoishi na vvu ni "kiherehere chao"?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by bwegebwege, Sep 28, 2010.

 1. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2010
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Jamani wana JF

  Nimesikia kuna habari kwamba JK katika moja ya mikutano yake ya kampeni amesema wanoishi na VVU eti ni "Kiherehere chao" ndiyo kimewaponza? Nasikia kulikuwa na video za mkutano huo ila wanausalama na wasaidizi wake wameziondoa You-Tube kwa lengo la kumsafisha JK?
  Halafu nasikia mkewe naye SALMA KIKWETE, kwa kussaidiwa na wasaidizi wake na washauri wake ametoa kauli ya kukingana na hiyo...kwamba eti kuwepo na jitihada za kuzuia maambukizi ya VVU kwa watoto na vijana....

  Kuna data zozote? Kuna mtu anaweza kutupostia hiyo video hapa JF

  Walmsiki
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  mimi nimesikia kwenye habari kuwa ule msaada tuliokuwa tunasaidiwa na wahisani wa kupewa dawa za kurefusha maisha umeisha....kwa hiyo kifuatacho itabidi Watanzania wawe wananunua hizo ARV.....nimejiuliza sijapata jibu....je imeonekana kuwa idadi ya watz imeongezeka sana kwa hiyo wanataka kutupunguza......coz hizo dawa zikianza kuuzwa sijui ni watz wangapi wataaga dunia.....ohh my my
   
Loading...