GE2010 Video ya wagombea ubunge vijana- chadema , cuf

GE2010 Video ya wagombea ubunge vijana- chadema , cuf

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
31,762
Reaction score
36,424
Mdahalo wa Wabunge watarajiwa vijana toka vyama vya siasa ambao CCM wameukacha, baadhi ya dondoo zilizozungumzwa ni PART 1 na PART 2 kwa hisani ya TANGIBOVU WA YOUTUBE:
  • Kuchochea vijana kugombea nafasi za kisiasa
  • Elimu na Huduma afya za Bure
  • Ambulance mgonjwa anachangia Tshs.120,000/= chini ya serikali ya CCM
  • Hakuna Waalimu wa Kutosha
  • Zitto kuwa-support wabunge vijana toka upinzani wakishinda
  • Miaka karibu 50 ya Uhuru, nyufa za walionacho na wasionacho zinazidi kuonekana
  • Ukuaji Uchumi umepungua na umasikini umeongezeka
  • Mikoa tajiri ya pembezoni kama Kigoma kasi ya maendeleo imechochewa na Chadema
  • Dr. Faustine Ndungulile wa CCM azuiwa kushiriki mdahalo wa wabunge vijana
  • Tanzania imekosa viongozi wenye utashi wa kuweka maendeleo ya Watanzania mbele
 
Last edited by a moderator:
Hivi Huyo Limbu wa CUF ni Kijana naye?
 
Back
Top Bottom