bendera ndani ya magari-kulikoni hazionekani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

bendera ndani ya magari-kulikoni hazionekani?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Technician, Sep 28, 2010.

 1. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimejaribu kuangalia magari kama 100 yakipita hakuna hata moja lililoweka bendera ya ccm kipindi hiki cha uchaguzi kama ilivyokuwa kawaida kwa miaka mingine,kulikoni jamani,hata watu wa ccm hawakupewa hizo bendera jamani.
   
 2. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawataki; nikiwaona naona kinyaa sijui wamegundua wanachukiwa na kuogopa kuitwa mafisadi
   
 3. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Inahitaji moyo mgumu kuipepea hiyo bendera
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Hata wao hawana roho ya chuma.

  Ni aibu kuweka wheel-cover yenye ujumbe: Maisha Bora kwa Kila Mtanzania wakati wananchi kwa asilimia zaidi ya 70 ni masikini wasiojua kesho watakula nini?

  Breaking News: Jamaa kaahidi barabara za lami Shinyanga.
   
Loading...