Mabinti watumiwa kumrushia Mbowe kombora! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabinti watumiwa kumrushia Mbowe kombora!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mstahiki, Sep 26, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. m

  mstahiki JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2010
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Video haifunguki waweza fanya makeke ili tuione?
   
 3. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hao inaonekana ni mabinti wa mafisadi,
  kama sivyo, ni vifisadi in making..
  Poor my beloved country!
   
 4. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  mbona siielewi hii video.... wanahamasisha ngono au kampeni!! "ETI LILE FATAKI LAKO VIPI "....
   
 5. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapa ndo angalieni jamani!!

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. mawazotu

  mawazotu Senior Member

  #6
  Sep 26, 2010
  Joined: Apr 27, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hizi ni siasa za maji machafu . kama kampeni zimefika mpaka hapa kweli kazi ipo
   
 7. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,094
  Likes Received: 4,042
  Trophy Points: 280
  wanaotunga hayo matangazo shule imeenda kushoto nao wameenda kulia angalia hapa ucheke huyu mama Ntilie anavyojibu utumbo yaani ni ame-cram na anachoongea na mind coordination na facial expression tofauuuuuutiiiiii! njaa hizi! nadhani CHADEMA wanapaswa wajibu na kudondoka kwa rais waulize kama ana mdondo au? watumie ile clip ya Jangwani! patakuwa patamu hapo!
   
 8. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  wasted ...
   
 9. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  utumbo mtupu
   
 10. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Beneficial
   
 11. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  duh mafisadi hawa, mkuu wao anakula 17%

  kwa kweli huyu fisadi
   
 12. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,937
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Waliotunga na wanao act akili zao zinafanana not compatible at all.
   
 13. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #13
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,395
  Trophy Points: 280
  I like this... sasa MBowe anagombea Urais wa nchi gani?
   
 14. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #14
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Lakini mbona haisemwi Mbowe huwa anatumia kiasi gani cha fedha zake binafsi kwa ajili ya shughuli za chama?
   
 15. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  watuwengine bwana, kwani lazima upost, thread ?
   
 16. M

  Mkandara Verified User

  #16
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Ikiwa kweli elimu ya kulipa ndio inatoa matunda haya basi bila shaka bora Dr. Slaa atupe Bureeee, hiyo bora Elimu..
   
 17. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #17
  Sep 26, 2010
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Sijawahi kuona watu waliochoka kimawazo kama hawa. Badala ya kulinganisha GDP na makusanyo ya kodi ili kupima uwezo wa serikali kujikusanyia mapata, wanadai Mbowe atafanya ufisadi kwenye GDP. Wawezaje kuiba GDP? Ama kweli hii ndiyo athari ya bora elimu.
   
 18. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #18
  Sep 26, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ha ha haaa Yaani hawa ndiyo think tank wa CCM

  Hivi nini Maana ya Tume la Taifa la Uchaguzi

  Haki ya Mungu hawa ndio wasomi wenyewe, halafu mbona wanaonekana kama watoto wa kishua?
   
 19. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #19
  Sep 26, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ha ha haaaa Nimesoma hii nimecheka sana, siyo siri Slaa anawapa tumbo la kuhara mafisadi
   
 20. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #20
  Sep 26, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hawa wasichana wanafahamika sana katika ile mitaa ya kujiuza usiku hapa jijini Dar. Huyo Dada mwenye mdomo uliorefuka kama samaki chuchunge anaishi Sinza kumekucha. Wapo katika biashara hawana lolote jipya.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...