Elections 2010 Ujumbe wa simu kutokwa kwa Mwalimu

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Jamani eeh!

Kuna mwalimu fulani yuko mafunzoni katika Chuo kimoja wapo hapa nchini.

Hivi majuzi alinitumia ujumbe wa simu ambao ulinifanya nijiulize mara mbili kama anastahili kufundisha mtoto wangu (sijui wa kwako).

Ujumbe 1:
Corruption to Africans will never get treatment until the return of Jesus, the problem is that Kikwete has allowed unlimited democracy. Mr Kennedy (nadhani alikuwa akimaanisha JF Kennedy), former US president told his people: "don't ask what America will do for you; ask yourself what will you do for America"

Ujumbe 2:
The challenges we have are due to the nature and origin of the country (nadhani alikuwa anamaanisha Tanzania). People fail to use logical thinking. Slaa is just lieing people. Kikwete is great.

Ujumbe 3:

(Huu sitauweka jamvini. Jamaa alifika mbali hata kuanza kumbeza Profesa Mwesiga Baragu. Hili ninalishughulikia mimi mwenyewe kwa njia ya maombi.)

Jamaa namfahamu vizuri sana in and out. Wala sitaki kuzungumza mambo ya familia zetu masikini wa kutupwa (wazazi wangu na wake).

La muhimu hapa ni kwamba huyu ni mwalimu ambaye anasomea diploma.

Karibuni jamvini.
 
Ndio tunakoelekea ....si tuanpenda waliofeli ndo waende ualimu ili tukisimama majukwaani tuseme tuna walimu maaelfu??? Watakuja kufundisha kuwa bahari ina maji ya baridi na maji matamu
 
Ndio tunakoelekea ....si tuanpenda waliofeli ndo waende ualimu ili tukisimama majukwaani tuseme tuna walimu maaelfu??? Watakuja kufundisha kuwa bahari ina maji ya baridi na maji matamu

huyu sio mwalimu ni ZUZU
 
Back
Top Bottom