MDG's - HABARI INA WALAKINI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MDG's - HABARI INA WALAKINI?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyambala, Sep 21, 2010.

 1. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wakuu kuna hii habari hapa chini:

  [​IMG]
  Tanzania imepewa Tuzo ya Umoja wa Mataifa ya Millenium Development Goals (MDGs) 2010 : The Global Heabeat kutokana na mafanikio makubwa iliyoyapata katika maendeleo ya Elimu katika sherehe zilizofanyiaka kwenye ukumbi wa Waldorf Astoria Grand Ballroom jijini New York Septemba 19, 2010. Pichani Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipokea tuzo hiyo na kutoka kwa Mmoja wa wasimamizo wa shughuli hiyo na Msanii maarufu , John Schneder.

  Kwanza kabisa naomba ifahamike I am not in the page of "They fail, we win"
  Ila nna maswali ambayo naomba wanajamii mnisaidie:

  1. Hiyo tuzo iliyopewa Tanzania imetolewa na oganaizesheni gani?

  2. Tunaambiwa kwamba Tanzania na Malawi ndiyo zimepata tuzo hiyo, je katika MDGs zingine nchi zipi wamepewa zawadi?
  Eradicate extreme poverty and hunger
  Achieve universal primary education
  Promote gender equality and empower women
  Reduce child mortality
  Improve maternal health
  Combat HIV/Aids, malaria and other diseases
  Ensure environmental sustainability
  Develop a Global Partnership for Development

  3. Mwaka jana ni nchi zipi zilipewa tuzo hiyo???

  4. Nini vigezo vya kupata tuzo hiyo????

  5. Huyo jamaa anayempa tuzo mh. Pinda nahusika vp na haya masuala ya MDG;s?

  6. Hii habari ya Tuzo hizi inapatikana wapi zaidi ya kwenye blogs za Tanzania?

  7. Tuzo hii ina uhusiano wowote na nini kinachoendelea on the ground?, stats kama enrolment ya wanafunzi shule ya msingi per capita ukilinganisha na miaka iliyopita, literacy rate,mahudhurio, mimba mashuleni (Primary schools) etc.

  8. Kwa nini Ban ki Moon hajatoa pongezi kuhusu mafanikio haya ya Tanzania na Malawi?

  9. Nani walihudhuria (wakuu wa nchi) kwenye sherehe za utoaji hizo tuzo?????

  8. Ni nchi zipi ambazo kuna kila uwezekano zitashindwa kufikia MDGs?

  My take
  Isije ikawa kuna kijioganaizesheni kinachojipromoti kupitia MDGs kimetupa hiyo tuzo na sisi tukabweteka. Na as for this timing ikatumika for political gains.

   
 2. MawazoMatatu

  MawazoMatatu JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2010
  Joined: Sep 6, 2008
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ok sasa nimeelewa, na wasiwasi wangu tayari umekuwa highlighted (see red), l Hiyo website ya MDG's awards imeanza kwa note namna hii!!!!

  NOTE: The MDG Awards Committee is a not for profit organization whose

  
mission is to support the achievement of the Millennium Development

  Goals
( MDGs), to disseminate information on the MDGs to

  the wider public, and to
r ecognize the contributions of a

  wide variety of stakeholders in the common cause of reaching the MDGs by

  the target date of 2015. Although
Government Award

  Recipients are determined in consultation with UN Agencies and experts,

  among others, the MDG Awards are not official awards of the United Nations.

  Does this qualify kutoa press release kutoka ofisi ya wazirio mkuu??
   
 4. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Iweje kuna watu humu na kwenye blogs wanataka kutuaminisha hii tuzo imetolewa na United Nations?????
   
 5. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hii ni press release kutoka ofisi ya waziri mkuu kwenda vyombo vya habari.

  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

  *

  Tanzania imeshinda tuzo kwa kutekeleza vizuri malengo ya Elimu katika Malengo ya Maendeleo ya Milenia ya Umoja wa Mataifa yanayotakiwa yakamilishwe mwaka 2015.*

  Tuzo hiyo ilipokokelewa rasmi jana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwenye sherehe ya Tuzo za Malengo ya Milenia kwa mwaka 2010, katika ukumbi wa Hoteli ya Waldorf Astoria jana (Jumapili Sept. 19, 2010) mjini New York, Marekani.

  *

  Akipokea tuzo hiyo, Waziri Mkuu alisema tuzo hiyo itaipa moyo Tanzania kufanikiwa katika malengo yote ya Milenia ifikapo mwaka 2015.

  *

  "Ni kama mafuta ya kulainisha katika injini," alisema huku akishangiliwa na mamia waliohudhuria tafrija hiyo.

  *

  Tanzania imefanya vizuri katika Lengo la Elimu la kuhakikisha Watoto wote wanaandikishwa shuleni, na kufikia Asilimia 95 mpaka sasa.*

  Malawi nayo imepata tuzo kwa kufanikiwa kuondoa njaa na kuwafanya wananchi wawe na chakula cha kutosha. Rais Bingu wa Mutharika alipokea tuzo ya Malawi.*

  Tuzo ya Utekelezaji wa Malengo ya Milenia hutolewa na Kamati ya Tuzo, ambayo ni Taasisi isiyo ya kibiashara yenye madhumini ya

  *kuunga mkono jitihada za utekelezaji wa Malengo hayo.

  *

  Mapema, Waziri Mkuu Pinda alikutana kwa mazungumzo ya kawaida na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. Dk. Asha-Rose Migiro na baadaye Mwakilishi wa Umoja wa Afrika katika Umoja wa Mataifa, Mhe. Amina Salum Ali.

  *

  Mhe. Pinda yuko New York, kwa niaba ya Rais Kikwete, kuhudhuria Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na Mkutano Mkuu wa kujadili utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo ya Milenia.

  (mwisho)

  Imetolewa na:

  ********* Ofisi ya Waziri Mkuu,

  ********* S.L.P. 3021,

  ********* DAR ES SALAAM

  Jumatatu Sept. 20, 2010
   
 6. C

  Chuma JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2010
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  hio press release mbona ipo OK? au wewe mwenzetu hukuisoma vema? sijui kama wamemaanisha ulivyoandika hapo Juu...
   
 7. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Halafu kwenye hii website yao mbona sioni hii award ya Tanzania to be specific?
   
 8. S

  S.M.P2503 JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 463
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  membership yenyewe ya hiyo organisation ni mpaka ulipie.. ina maana kwamba hata akina pinda au kikwete walilipia ili nao wawemo kwenye hiyo organisation...(waje wapewe tuzo baadae)
  Hiyo NGO ya wazungu ni ya watu wanafiki sana.. wanatafutiana ulaji NA KUJUANA huku Africa na kutudanganya kwamba Tanzania imepiga maendeleo kwenye elimu.. sijui elimu ya wapi inayozungumziwa.. labda ni ya ujenzi wa shule za chakachua/kata na walimu wa voda fasta...wanafunzi wanaanza millioni moja na wanofika form six hata laki moja hawafiki.. ndio maendeleo hayo ya kupiga hatua.. labda ni maendeleo kwa mwendo wa kinyonga na konokono...

  mambo ya ajabu sana haya... Ole wao hao wanojitia vimbelembele vya kwenda kupokea tuzo na kuoa press release halafu wanapinga elimi bure haiwezekani...
   
 9. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nimeongelea blogs na michango kwenye threads mbali mbali humu JF, na ndiyo maana nikaiweka press release
   
 10. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Unajua mpaka sasa naona kizungu zungu!!!!!!!!!!!!
   
 11. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mnashangaa nini? Hamjawahi kusikia mabalozi wa nchi za magharibi wakimsifia Kikwete kwa kupambana na ufisadi? Amepambana nao siku gani?
   
 12. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Elimu ya bure haiwezekani, lakini pesa za EPA zinawezekana. Mpaka kieleweke!!!!!
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Actually sijafuatilia hizi sarakasi za Millenium sijui nini, lakini it already sound absurd to me..kuna uzi mwingine kule nilichungulia fastafasta wanasema Tz na Burundi zipo nyuma kwene kufuatilia schedule ya 2015..sasa sijakaa kitako vyema naona inakuja tena hii(??) naona kama kuna sarakasi hapa..and its all fishy, kama ile degree za Dr. Mkwere aliyopewa kule Kenya..its all nonsense all over the place.
   
 14. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu ukipata muda pitia MDG Awards uone ni namna gani sisi tulivyo wepesi kupokea sifa tusizostahili. Hlafu fun enough kupata hiyo zawadi kutoka hiyo organaizesheni inabidi uwe memba na kuwa memba unalipia!!!!!!!!!!!!

  Sasa sielewi ni kwa nini kuna watu wanawehuka na tuzo ya namna hii!
   
 15. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Ni namna ya usanii wa kutaka kushinda uchaguzi mkuu 2010. Kwanza presenter ni msanii na sio UN official. Dr. Asha Rose Migiro atupe ufafanuzi hapo.
   
 16. Ilulu

  Ilulu Senior Member

  #16
  Sep 21, 2010
  Joined: Mar 22, 2008
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hakika hapa ni juhudi za kujaribu kuonyesha mafaniko ya Serikali ili tu kujenga hoja kwa wapiga kura.
  Sasa nakumbuka huu wimbo mpya wa John Walker na vijana fulani wa kichaga (nadhani) ambao corus yake inasema "Machale Kundesa Ngastuka"

  Nadhani na sisi wote TUMESTUKA.... HATUDANGANYIKI
   
 17. B

  Bobby JF-Expert Member

  #17
  Sep 21, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,682
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Nyambala kwanza thanks a lot kwa post nzuri. Believe me vitu kama hivi vinaleta uhai sana kwa jamii forums, infact vinatufanya wengine tusijutute kutumia muda wetu jamii forums. For sure kuna upotoshwaji mkubwa kwenye hii habari, imagine niko na copy ya gazeti la leo la serikali (Daily News) hapa kuna headline kubwa mbele. Habari hiyo inaanza kwa kusema Tanzania imepata United Nations Award- what a misleading statement kutoka kwa reliable source kama gazetila Serikali???!!! Natafuta contacts za editor na kudemand correction ya hiyo habari hakuna sababu ya kuweka siasa kwenye kila kitu.
   
 18. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #18
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  They are at work BOBBY. hata ukidemand hizo corrections watakupuuza. Acana nao dawa ni kutafuta njia muafaka kupitia magazeti yasiyo na ushabiki kuweka hizo corrections.

  BILIV me, hiyo award itachakaa ikifika bongo kwani itazungushwa kwenye kampeni kama mtaji wa siasa.
   
 19. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #19
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Chuma unaona mambo yenyewe ni kama hivi, jamaa bado wanafikiri Dunia bado ni ile ya mwaka 47!!!!!!


  SHAME ON YOU DAILY NEWS!!!!!!!!!!!!!


  Source: Bofya Hapa


  Tanzania wins education MDG award

  TANZANIA has won the United Nations award for its impressive progress towards attaining universal primary education, some five years ahead of the 2015 deadline set under the Millennium Development Goals (MDGs).

  The Prime Minister, Mr Mizengo Pinda, received the award at a ceremony held at the Waldorf Astoria Hotel in New York on Sunday, describing it as a catalyst for the country to achieve all other MDGs ahead of the 2015 target.

  The MDGs, endorsed by the world leaders in September 2000, set out eight targets which range from eliminating hunger, halving extreme poverty, halting the spread of HIV/AIDS and providing universal primary education - all by the 2015 target date.

  "This award is like putting fuel of an engine'', said the premier amid applause from the hundreds who attended the function. Tanzania has succeeded by more than 95 per cent in attaining education goal through the universal primary school enrolment.

  The UN also awarded Malawi for its success in eliminating hunger by enhancing food security. The award was presented to President Bingu wa Mutharika at the same occasion.

  Mr Pinda, who is in New York representing President Jakaya Kikwete, at the 65th United Nations General Assembly (UNGA) and the three-day high level meeting to accelerate the implementation of the UN anti-poverty goals or MDGs, earlier met the UN Deputy Secretary-General, Dr Asha-Rose Migiro and the African Union representative to the UN, Ambassador Amina Salum Ali.

  Meanwhile, about 140 world leaders yesterday attended the opening of the MDGs summit, where they are expected to measure progress towards achievement of the targets and review difficulties encountered in the process.

  With just five years to go before the deadline for achieving the MDGs, the leaders will discuss how and where they can do more in the remaining period to defeat poverty, reduce hunger, stop environmental degradation, improve education, boost maternal and child health and reach the other remaining targets.

  In another development, despite notable achievements in education, there are many challenges being faced in Zanzibar including overcrowded classrooms and inadequate facilities.

  "We have recorded a lot of achievements in the past decade in education, including narrowing gender disparity in schools, but there is still much to be done," said Mr Mwalimu Abdallah Mzee, Deputy Principal Secretary in the Zanzibar Ministry of Education and Vocational Training at an evaluation seminar.

  Mr Mzee said Zanzibar has reformed its education system, making compulsory education from nursery to form IV, instead of form three.
   
 20. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #20
  Sep 21, 2010
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  SOURCE:The Inquirer Online : Liberia Wins MDG Award...Ellen Off To UN Assembly
   
Loading...