Jee mtuhumiwa wa wizi wa kuku waweza kumchagua kuwa balozi wako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jee mtuhumiwa wa wizi wa kuku waweza kumchagua kuwa balozi wako?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by BONGOLALA, Sep 23, 2010.

 1. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,791
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Ningependa kuuliza wana jf,kwenye fomu za kuwania ubunge hakuna kipengele cha- jee umewahi kushtakiwa kwa kosa la jinai?nashangaa kikwete ni kiongozi wa serikali na kila siku anatamba kesi za mafisadi zinashughulikiwa.yeye huyo huyo ana mnadi mramba ambaye kaiingizia serikali hasara ya bil 11 kuwa ni mtu safi, si bora amwamuru mwanasheria mkuu aifute kesi?watanzania tuamkeni hii nchi zaidi ya miaka 50 waliotumaliza inatosha.
   
Loading...