Elections 2010 Salma kikwete aandaliwa kugombea uraisi 2015?

mozze

Senior Member
Aug 27, 2010
185
28
Tetesi na uchambuzi wa masuala ya kisiasa Tanzania:
Kwa jinsi Salma na wana familia wengine wa Kikwete walivyoingia kwa nguvu kwenye siasa inasemekana kuna mchogo wa kumfanya huyu mama mashuhuri kwa ajili ya kumsimamisha 2015 ili kupata kura za akina mama.
Sababu kuu ni:

  • Kumlinda Mumewe kama atafanikiwa kupata urais tena mwaka huu kwa sababu ya Madudu aliyofanya kwenye ufujaji na uvunjaji wa sheria za nchi.
  • Ahadi zinazotolewa sasa ni nguvu kuzifikia hivyo ni dhahiri 2015 wananchi watakuwa wamepoteza imani na CCM hivyo Salma atatumika kuwavuta wanawake ambao ndio wapiga kura wengi.
  • Mkakati wa kuiweka nchi chini wa familia/Kikundi fulani.
 
Propaganda hiyo hapo juu(bila kuongeza au kupunguza herufi) ni Kwa hisani ya Merikani!
Aksanteni.
 
JK & Family, mama anataka kuwa waziri hilo halipingiki, Mtoto naye waziri hilo linaonekana, JK hatakubali tena kutumia pesa za mafisadi kumyumbisha safari hii. Naimani safari hii pesa nyingi zimetoka kwa waarabu, PPF walitaka kumpa dili jamaa wakalinyaka fasta akarudisha mzigo wote. Tanzania tujiandae tu kupata rais kijana kuliko wote Africa mwaka 2015 Mh. Advocate Rizione JK Junior, wala siyo Mama Salma, mama yeye anafanya kazi yake.
 
Tetesi na uchambuzi wa masuala ya kisiasa Tanzania:
Kwa jinsi Salma na wana familia wengine wa Kikwete walivyoingia kwa nguvu kwenye siasa inasemekana kuna mchogo wa kumfanya huyu mama mashuhuri kwa ajili ya kumsimamisha 2015 ili kupata kura za akina mama.
Sababu kuu ni:

  • Kumlinda Mumewe kama atafanikiwa kupata urais tena mwaka huu kwa sababu ya Madudu aliyofanya kwenye ufujaji na uvunjaji wa sheria za nchi.
  • Ahadi zinazotolewa sasa ni nguvu kuzifikia hivyo ni dhahiri 2015 wananchi watakuwa wamepoteza imani na CCM hivyo Salma atatumika kuwavuta wanawake ambao ndio wapiga kura wengi.
  • Mkakati wa kuiweka nchi chini wa familia/Kikundi fulani.

Siku moja bitapigwa bita!!

Nyie leteni mchezo tu.

Bazalendo bakweli bapo hata kwenye makambi za brigedi. Siku bakigeuka patachimbika.

Maana jo batu bamegeuza nchi mali za familia.

Masiku banahesabika jamani
 
Tetesi na uchambuzi wa masuala ya kisiasa Tanzania:
Kwa jinsi Salma na wana familia wengine wa Kikwete walivyoingia kwa nguvu kwenye siasa inasemekana kuna mchogo wa kumfanya huyu mama mashuhuri kwa ajili ya kumsimamisha 2015 ili kupata kura za akina mama.
Sababu kuu ni:

  • Kumlinda Mumewe kama atafanikiwa kupata urais tena mwaka huu kwa sababu ya Madudu aliyofanya kwenye ufujaji na uvunjaji wa sheria za nchi.
  • Ahadi zinazotolewa sasa ni nguvu kuzifikia hivyo ni dhahiri 2015 wananchi watakuwa wamepoteza imani na CCM hivyo Salma atatumika kuwavuta wanawake ambao ndio wapiga kura wengi.
  • Mkakati wa kuiweka nchi chini wa familia/Kikundi fulani.

Story za vijiweni hizi? lakini akigombea itakuwa poa!! kura yangu anayo AS LONG AS NI CCM!!
 
Aisee!! Naona sasa Ikulu imegeuka kuwa sehemu ya familia Baba bado yuko kwenye kinyang'anyiro, Mama anataka, Mtoto naye anataka
 
Hivi IKULU ya Tanzania imekuwa chimbo la VILAZA?

Big YES, yuko JK, Salma, katibu muhtasi wa rais-binanu yake ambaye aliishia kidato cha saba cha shule ya msingi au form four mwenye zero, Ridhiwan, Yusufu and Januari Makamba, Ab Kinana, Issa Michuzi-std seven na kozi kadhaa za kupiga picha etc

NA HAWA NDIO THINK TANK YA KIKWETE, HATA MKURUGENZI WA HABARI BWANA RWEYEMAMU HASIKIKI KABISA
 
Mie namshauri arudi akatufundishie watoto wetu chekechekea maana hyo ndio stahili yake hukoo kwingie kuna wenyewe hatutaki msoma asiyeja hata kusoma risala { maana anavuta kama aisoma shairi lol! jana nilisema ninii.. nilisemaa kuwaaaaaaaaaa wapinzani niiii aduiiiiiiiiiii mmesikia eeh} hadi amalize kusoma ahaya moja nishalala :glasses-nerdy:
 
Ulipoamka leo asubuhi,

1) ulipiga mswaki?

2) ulitandika kitanda?

3) ulikunywa chai?

Mimi naona bado uko kitandani, hujaamka! Amka usingizini kwanza, kabla ya KUROPOKA!

Hizo ni NDOTO! Salma anaweza kuwafundisha mabinti wa primary na secondary; anaweza kumtunza mumewe (lakini tuna mashaka na hili...); HAWEZI kuongoza nchi!

-> Mwana wa Haki
 
Back
Top Bottom