Hivi Ridhiwani huwa anaongea nini huko anakozunguka zunguka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Ridhiwani huwa anaongea nini huko anakozunguka zunguka?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by kaburunye, Sep 22, 2010.

 1. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wadau, ningependa nijue huyu bwana mdogo ("First brother") wa TZ huwa anaongea nini huko anakozunguka akipiga siasa. Maana najua huyu dogo hana point kabisa, nataka yeyote anayejua ambayo huwa yanajiri kwenye ziara zake atumwagie hapa jamvini. Maana anayofanya "First lady" tumeyasikia na utumbo wake na nadhani ni muhimu tujue pia huyu dogo huko anaongea utumbo upi. Nasikia huwa ana demand reports kutoka kwa viongozi wa serikali na cha ajabu nao huwa wanampa. Hivi hatuna viongozi wenye akili timamu ambayo wanaweza kuukataa upuuzi huu hata ikibidi kunyang'anywa cheo???
   
 2. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Atakuwa anaongea blah blah za JK - pumba za Salama= hoja za Riz
   
 3. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  eti kuvunja makundi
   
 4. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  mpigieni kura baba
   
 5. M

  Mmongolilomo Senior Member

  #5
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 135
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Uvundo kama makamba
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,910
  Trophy Points: 280
  anajiandaa nae..idiot.
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hahahah jamani kwahiyo naye anatumia pesa za chama kama 29million per freight
   
 8. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hii familia uchaguzi wa mwaka huu ndio wamechachamaa kweli.
   
 9. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anatengeneza mtandao wake wa ulaji mwaka 2015 wa urais. Huku akijitahidi kufikisha mizigo ya mzee kwa walengwa ( Milioni sitini sitini zile) ndo anayezibeba. Anachosema kwa kweli hata mimi nahamu nacho kukisikia? jamani wana CCM tupeni anayosema huyu jamaa ni yapi?
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Sep 22, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Dogo aliniboa sana alivyojihusisha na uchaguzi wa Yanga akijifanya yeye ni Kikwete akawa ana madaraka makubwa sana! Muulizeni Kifukwe
   
 11. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #11
  Sep 22, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Watakuwa wanavunja makundi hadi lini? Mwaka 2005 pia walikuwa na kazi ya kuyavunja -- mengi yalikataa kuvunjika hadi ikaja 2010! ccm UKINGONI KWELI!
   
 12. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #12
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Wataita uchaguzi huu
  Family bonanza
   
 13. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2010
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Eeebana eeehh kwani hujui kuwa alikuwa anampigia debe Davies Mosha? (tajiri kijana) Hapo alikuwa anataka pesa za kampeni tu toka kwa David na kweli alishinda, sijui sasa yeye alipewa ngapi kama malipo ya kumpa tafu lote hilo
   
 14. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huyu dogo anajua mshua ni Mfalme wa TZ so ataachiwa kiti cha enzi hapo mbeleni kheeee!!! Atajuta kitakachompata hapo mshua atakapoondoka madarakani !!!
   
 15. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #15
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,675
  Likes Received: 21,903
  Trophy Points: 280
  Maelezo yake yanafanana na haya,
   
 16. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #16
  Sep 22, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  BTW- hivi huyu dogo naye anakodishiwa ndege kwa dola 15,000 kwa masaa matano?
   
 17. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #17
  Sep 22, 2010
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Swala la uraisi ni la kifamilia.mmesahau.
   
 18. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #18
  Sep 22, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,557
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  mkuu katengewa bajeti yake huyo na inatakiwa kuisha kabla ya oct 31 2010 so unaweza jua anatafuta nini
   
Loading...