Unafiki au Ulimbukeni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unafiki au Ulimbukeni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TandaleOne, Sep 15, 2010.

 1. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,617
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Ndugu zangu;
  Kuna mtu alikuwa analalamika kwamba serikali imesababisha bei ya bia kupanda toka 900/-TZS mpaka 1,500/-2004 to 2010.Nikamuuliza bei ya soda ya Coke nchini Kenya,Afrika Kusini au Marekani ilkuwa kiasi gani mwaka 2004 na leo ni kiasi gani???

  Hizi ni siasa,ulimbukeni au ushabiki???Mfumuko wa bei katika ulimwengu wa utandawazi serikali ya ndani pekee ndo huwajibika??Au ni sisi tunawajaza ndugu zetu maarifa na taarifa nusunusu.????

  Tutazidi kuachwa kwa style hii.
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  MOD ondoa huu upupu...anajara nzi kwenye jamvi!~
   
 3. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,617
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Jibu swali.Kama huwezi acha.Si lazima kila kitu utoe maoni yako.Upupu sasa ni huo ulioweka kwa hiyo reply.
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  wewe ni kilaza ama limbukeni?
   
 5. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,617
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Fikiri,then utagundua.
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kilaza
   
 7. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,617
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Hujajibu swali langu
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hakuna jibu!
   
 9. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #9
  Sep 15, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Bei ya soda Africa Kusini inakaribia US$ 2, LAKINI mapato yao ni tofauti na sisi. Mshahara ambao Mkuu wa Idara analipwa hapa TZ hawezi kuishi Afrika kusini kwa wiki mbili. Watanzania wanacholalama ni kuwa mapato ni madogo, vitu ghali. Viatu vinavyouzwa TShs 35000 hapa TZ Afrika kusini ni Rand 1000 sawa na 180,000 wao kwa viwango vya mishahara yao wanaweza kununua.
   
 10. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,617
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Aibu!!Aibu.Udaku mtupu.Ndo maana yule jamaa alikimbia
   
 11. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,617
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Hujajibu swali.
   
 12. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #12
  Sep 15, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Bei ya coke marekani haijabadilika
  kwa kupingana na ukilaza na ulimbukeni wako, bei za vitu vingi marekani zimeshuka
   
 13. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #13
  Sep 15, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Mwafrika hapo sasa unatudanganya. Jee unalinganisha na bei za mwaka gani? Hakuna hata nchi moja bei za vitu huwa zinashuka.
   
 14. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #14
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,617
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Nakuonea huruma sana ndugu yangu.Unafiki.
   
 15. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #15
  Sep 15, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280

  MAKOFI TAFADHALI KWA VICENTE !!!

  Huyo TandaleOne nina wasiwasi na uwezo wake wa kufikiri.

  Hivi wewe Bwana TandaleOne unafikiri watu waliochoka na serikali ya CCM ni wendawazimu?

  Tafakari kijana.......................
   
 16. M

  Mkandara Verified User

  #16
  Sep 15, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  TandaleOne,

  Mkuu wangu hapa umekosea kwani bei ya soda nchi hizi haijaongezeka. Na kama imeongezeka mahala popote ni utokana na kodi zake kuongezeka hivyo kilichoongezeka kinakwenda serikalini kama kodi na sii sababu ya mfumko wa bei kama unavyotokea Tanzania. Thamani ya shilingi yetu hushuka kwa asilimia 10 kila mwaka hilo tu pekee linakupa picha tofauti na nchi hizi.
   
 17. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #17
  Sep 15, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Msaada tafadhali: Hivi "serikali ya ndani" ndiyo ipi hiyo?!
   
 18. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #18
  Sep 15, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,490
  Likes Received: 1,219
  Trophy Points: 280
  kwenu tandale leo mvua imenyesha utalalaje?endelea kuwa kondom ya ccm, by the way karibu tarime ufanyiwe tohara ya akili,iwe ya kizalendo
   
 19. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #19
  Sep 15, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,697
  Likes Received: 8,234
  Trophy Points: 280
  Jamani kwa kudokeza tu..nilikuwa Kenya miaka ya 2005..soda ilikuwa 18 na sasa...ni 20 kshs!!!!!!! ile ya 300ml.
   
 20. M

  Mchapakazi Member

  #20
  Sep 15, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 67
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna njia nyinga za kutambua WASOMI wa UDOM! Ukada zaidi kuliko uelewa.
  Kweli tumelaaniwa.
   
Loading...