Tufahamishane walioshinda tender za vifaa vya uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tufahamishane walioshinda tender za vifaa vya uchaguzi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mtazamaji, Sep 22, 2010.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  wadau napenda kufahamishwa ni

  • kampuni gani ita/ zita husiika ku supply, kuchapisha makaratasi ya kupigia kura.?
  • Kampuni gani zimeshind ku supply maboksi na vifaa vingine vya uchaguzi.
  • kampuni hizi zimeshinda tender kwa shilingi ngapi?
  • Kuna kampuni za watanzania?

  Natanguliza shukrani
   
 2. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtazamaji! safi sana. Ngoja tusubiri wenye data, wanaJF tupeane data ili tuone yawezekana ni Kinana na Meli zake
   
 3. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  eti kuvunja makundi
   
 4. Enigma

  Enigma Senior Member

  #4
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Kalamazoo Secure Solutions Ltd

  Mill Lane
  Northfield
  Birmingham
  West Midlands
  B31 2NY

  Tel: 0121 256 2000


  Kama upo, tafadhali sana tuwasiliane kwa PM. Asante.
   
 5. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,417
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kamanda Enigma, hii si ndiyo ile kampuni iliyoshinda tenda ya kuchapisha karatasi za kupigia kura, au??!!
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,968
  Likes Received: 890
  Trophy Points: 280
  Nikimuona nzi ametua napata hisia kuna kajambo nyuma ya pazia
   
 7. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,417
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Itabidi nzi na watoto wake wajazane humo... lol
   
Loading...