Kinana Anataka Kutudanganya Tuamini Jua ni Mbalamwezi Hatudanganyiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kinana Anataka Kutudanganya Tuamini Jua ni Mbalamwezi Hatudanganyiki

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by chilamjanye, Sep 22, 2010.

1. c

chilamjanye Senior Member

#1
Sep 22, 2010
Joined: Oct 5, 2007
Messages: 110
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Kinana anasema Dr Slaa akipunguza mishahara ya wabunge haitotosheleza matumizi anasahau kwamba kuna Methali ya Aba na Aba Hujaza Kibaba nakumbuka vizuri Dr Slaa amehahidi hata kupunguza baraza la Mawaziri ikiwa na maana posho na vikao na misafara ya kitalii itapungua na hivyo fedha hizo kwenda kwenye Maendeleo. Lakini Slaa ametwambia akiwa Mbunge kuwa Bajeti ilikuwa na mabilioni kwa ajili tu ya Vitafunwa na chai wakati CCM wakwahadaa wananchi eti Kasungura Kadogo ndo maana fedha za Maendeleo ni kiduchu mbona haya mabilioni kinana hataki kusema kwamba yanaweza kujenga mahabara kwenye shule?

Kinana anatwambia DR Slaa akikata wabunge asilimia 15 kila Mbunge atakatwa laki saba na Nusu 750,000/= lakini hajaweka bayana ni asilimia 15 ya shilingi ngapi kama Dr Slaa alivyosema kuwa wabungu wanalipwa yapata milioni saba na Kitu. Tumtake Kinana atueleze ni asilimia 15 ya shilingi ngapi lakini hatukuambiwa walirudisha fedha za EPA ni kina nani tuna hamu ya kuwajua ili tuamini kweli Viongozi wa CCM ni wakweli kwa watanzania. Mimi naona Elimu bure yaja na Afya Bure na nilikuwa sijaanza kulipa Mkopo wa Bodi nasubiri uchaguzi upite ili Dr Slaa akipita nina Imani hata tuliokopeswa atatwambia Tusilipe Kitu. CCM na KINANA ndo naona wanaGhiliba

2. Steve Dii

Steve Dii JF-Expert Member

#2
Sep 22, 2010
Joined: Jun 25, 2007
Messages: 6,416
Likes Received: 67
Trophy Points: 145
Kinana ana tapatapa, kwani anajua fika kwamba CCM kama haipo madarakani, kughushi stakabadhi za malipo na ukwepaji ushuru bandarini utapungua na kutoweka, na hivyo kuwa mwisho wa biashara zake zilizojaa kashfa!!

3. c

chilamjanye Senior Member

#3
Sep 22, 2010
Joined: Oct 5, 2007
Messages: 110
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
halafu anawahadaa sana watanzania yaani mimi naami CCM siyo vidume tena bali warembo wetu mwaka huu lazima tuwaoe

4. M

Mfwatiliaji JF-Expert Member

#4
Sep 22, 2010
Joined: Oct 5, 2007
Messages: 1,325
Likes Received: 5
Trophy Points: 0
Dr Slaa endelea kutema cheche..
Mwaka huu mpaka vibaraka wa sisi m waelewe kuwa mbaazi zi njegere!

5. c

chilamjanye Senior Member

#5
Sep 22, 2010
Joined: Oct 5, 2007
Messages: 110
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
kinana anasema Hukuna Train yakuweza kufika mwanza kwa masaa matatu jamani hata ukipita google Kinana kidogo utaona mwenyewe mpatieni taarifa kinana ajenge tabia ya kusoma

hina's Ministry of Railways signed a contract back in March to purchase 100 of these new high speed trains built by Changchun Railway Vehicles Co., Ltd., a subsidiary of China CNR Corp, one of the two big train makers. China also has the independent intellectual property rights of the trains.
As soon as the railway between Beijing and Shanghai is complete, the trains will start running on them, cutting the trip between the two major cities (1302 km at 350 kph) down to around 4 hours.
Via Earth and Industry
photo credits: Xinhua

[​IMG]
[​IMG]
2 email thisemail facebookfacebook diggdigg

Related Posts  [​IMG][​IMG]  [​IMG]

2 Responses to "World's Fastest Train Rolls Off Production Line"  Leave a Comment

Please keep your comments relevant to this blog entry. Email addresses are never displayed, but they are required to confirm your comments.
Please note that gratuitous links to your site are viewed as spam and may result in removed comments.
Read more: World's Fastest Train Rolls Off Production Line | Inhabitat - Green Design Will Save the World

6. c

chilamjanye Senior Member

#6
Sep 22, 2010
Joined: Oct 5, 2007
Messages: 110
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
kinana anasema Hukuna Train yakuweza kufika mwanza kwa masaa matatu jamani hata ukipita google Kinana kidogo utaona mwenyewe mpatieni taarifa kinana ajenge tabia ya kusoma

hina’s Ministry of Railways signed a contract back in March to purchase 100 of these new high speed trains built by Changchun Railway Vehicles Co., Ltd., a subsidiary of China CNR Corp, one of the two big train makers. China also has the independent intellectual property rights of the trains.
As soon as the railway between Beijing and Shanghai is complete, the trains will start running on them, cutting the trip between the two major cities (1302 km at 350 kph) down to around 4 hours.
Via Earth and Industry
photo credits: Xinhua

[​IMG]
[​IMG]
2 email thisemail facebookfacebook diggdigg

Related Posts  [​IMG][​IMG]  [​IMG]

2 Responses to “World’s Fastest Train Rolls Off Production Line”  Leave a Comment

Please keep your comments relevant to this blog entry. Email addresses are never displayed, but they are required to confirm your comments.
Please note that gratuitous links to your site are viewed as spam and may result in removed comments.
Read more: World's Fastest Train Rolls Off Production Line | Inhabitat - Green Design Will Save the World

7. pmwasyoke

pmwasyoke JF-Expert Member

#7
Sep 22, 2010
Joined: May 27, 2010
Messages: 3,584
Likes Received: 189
Trophy Points: 160
Kupunguza mishahara ya wabunge pekee labda kusingukuwa na athari kubwa kwenye uchumi, lakini kitendo hicho kinakuwa mwanzo na mfano mzuri. Ni kuonyesha njia ili matumizi ya kifahari yasiyo ya lazima yaachwe kwa watendaji wengine wote wa serikali- iwe mawilayani, mikoani na serikali kuu - na hilo likitendeka kwa hakika impact itaonekana.

8. Negotiator

Negotiator JF-Expert Member

#8
Sep 22, 2010
Joined: Aug 9, 2010
Messages: 303
Likes Received: 3
Trophy Points: 0
Warembo! Duh

9. c

chilamjanye Senior Member

#9
Sep 22, 2010
Joined: Oct 5, 2007
Messages: 110
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Jamani kinana anatia aibu sasa maana tumetafuta taarifa za SUMATRA zinaonesha kuwa kutoka hapa mpaka mwanza ni Kilometa 1191 na tukiangalia kuna Treni ya kwenda umbali wa kilometre kuanzaia 350 hadi 1000 kwa sasa. sasa tanzania tukinunua tu ya Kilometre 500 kwa saa tutatumia muda gani jamani mpaka mwanza wanamahesabu?

Loading...