Wanamtandao.

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,443
Wana JF naombeni kufahamu kuna kitu nimekuwa nakisikia kwamba kipo ndani ya CCM, Kwa mfano kuna siku tulikuwa tumekaa mahala na jamaa zangu, tukibashiri uchaguzi wa mwaka 2015 kwamba ni nani anaweza akakabidhiwa mikoba na Dr Slaa ili aingoze nchi yetu? Mmoja wetu akasema CCM ikimsimamisha mtu kama Magufuli lazima achukue nchi. lakini kuna mtu akadakia kwamba CCM hata siku moja haiwezi kumsimamisha Magufuli kwasababu si mwanamtandao, Sasa najiuliza maswali hivi wanamtandao ni watu gani?
 
Wanamtandao Ni wale wote wanaolinda Mafisadi ndani ya CCM, mziki wa magufuli hawauwezi si unakumbuka aliwahi kumnyanganya mzee wa kaya yale maghari waliyondika private number?
 
RA na EL wanaweza kuja hapa kutupatia orodha maana wao ndio wanayo.
Hata Muhingo anaifahamu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom