Elections 2010 Kura za wafanyakazi

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Ndugu wanajamii,hebu tukumbushane,hivi Mgaya alisema wafanya kazi kura wampe Dr Slaa au nani? Wafanyakazi wa serikali,kampuni binafsi,wa majumbani,wa mashambani,waliojiajiri wenyewe n.k.Alisema kura ni kwa Dr Slaa au nani?Naomba tukumbushane tena jamani,siku zinakaribia.Pia wekeni kadi za kupiga kura vizuri. TUKUMBUSHANE WAKUU
 
Ndugu wanajamii,hebu tukumbushane,hivi Mgaya alisema wafanya kazi kura wampe Dr Slaa au nani? Wafanyakazi wa serikali,kampuni binafsi,wa majumbani,wa mashambani,waliojiajiri wenyewe n.k.Alisema kura ni kwa Dr Slaa au nani?Naomba tukumbushane tena jamani,siku zinakaribia.Pia wekeni kadi za kupiga kura vizuri. TUKUMBUSHANE WAKUU

Watu walishasahau kama walitukanwa siku ile baba! am looking through my third eye!
 
Alisema pilau atapakuliwa yule anyejali wafanyakazi. Basi nikafijikiri tumeongezewa mshahara kumbe kelele siju zilitoka wapi? au silaa ndo kasababisha hat sijui au ni ahadi hewa.
 
mkuu mambo vipi?
Mkuu huna haya ya kujiuliza mara mbili mbili na kufikiria mgaya alisema kura ni kwa nani
mkuu kura yako ni kwa chadema tu na si vinginevyo kaka
\\
kaka umekuwa mkali sana.
Lakini kimsimgi kura ni kwa chadema!
 
Jibu liko wazi, CHADEMA ndugu yangu, utajutia kama hutampigia DR Slaa
 
Jana niliongea na Mdogo wangu yeye ni Mwalimu nikamuuliza vipi kura za Urais? Akanishangaa sana akasema wafanyakazi wataompa kura JK ni Wakuu wa Mioka, wakuu wa wilaya na Ma DC na familia zao tu
 
sio wafanyakazi tu bali hata wake zao na watoto pia na mademu na nyumba ndogo kura kwa slaaaaa

Kama kuna mfanyakazi au mtegemezi wa mfanyakazi ktk nchi hii atampigia kura kikwete basi, jehanamu imfuate hapa hapa dhuniani. Wafanyakazi wengi nilioongea nao kura zao kwa Dr. Slaa basi.
 
Mimi niu mfanya kazi nitaipa chadema kura yangu......nimewaambia hata wazazi,babu ,wadogo,marafiki na wengine wanaonizunguka na wanaotegemea kazi yangu kuwa rais haitaki kura yangu kwa hiyo wasimnpigie kura na wanajua kuwa yeye ni mlinda mafisadi namba1........kila mfanyakazi akifanya hivi naamini hazitakuwa kura 350,000 tena itakuwa 350,000x20=7,000,000 kwa ushawishi wa wafanyakazi tu
 
Back
Top Bottom