Point of no return | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Point of no return

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Masauni, Oct 1, 2010.

 1. M

  Masauni JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakumbuka wiki 3 zilizopita nilianika hapa jamvini jinsi nilivyopata taarifa kutoka kwa kigogo mmoja wa CCM kuwa CCM itatumia mbinu za mugabe kutafuta ushindi wa nguvu. Mbinu hizo ni

  • Kutumia vyombo vya usalama kama usalama wa taifa , jeshi. (NAAMINI SASA HABARI NILIZOPEWA NA KIGOGO HUYO NI SAHIHI). Aliendelea kusema kuwa siku ya uchaguzi JWTZ na polisi watakuwa na zana zao za kivita wakipita huku na huko katika hali ya kuwaintimidate wapiga kura, hizi ni tactics alizotumia Mugabe wa Zimbabwe.

  • Kwa baadhi ya maeneo yanayoonekana kuwa na upinzani mkali Returning officers watatangaza matokeo kinyume na matokeo ya vituoni.
  Ushauri wangu kwa wale wanaofuatilia historia mtakumbuka jinsi wananchi wa filipino walipouchoka utawala wa ferdinand marcos, Baada ya jeshi kutoa vitisho vya kila namna wafilipino walisema hivi:

  HATUTARUDI NYUMA MPAKA UTAWALA WA KIFISADI WA FERDINAND UMEONDOKA, NA WALIFANIKIWA
  WANANCHI MSIOGOPE TWENDE TUKAPIGE KURA KUMCHAGUA RAISI TUMTAKAYE.
   
 2. B

  BRIA Senior Member

  #2
  Oct 1, 2010
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 60
  sarafina!!!!!!!!!!! Sarafina!!!!!!!the napoleon hahahahaha
   
Loading...