Wagombea ubunge Arusha wajinadi siku ya wazee dunia. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wagombea ubunge Arusha wajinadi siku ya wazee dunia.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ngongo, Oct 1, 2010.

 1. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Leo wagombea ubunge Arusha mjini walishiriki kuadhimisha siku ya wazee duniani kwa kushiriki maandamo yaliyoanzia ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha.Wagombea ubunge wa vyama vya Demokrasia makini,CUF na CHADEMA hawakushiriki maadhimisho hayo pamoja na kuarifiwa kwa barua.

  Wagombea ubunge wa vyama vya TLP Bwana Lyimo na CCM Mama Batilda Buriani walishiriki maandamano hayo yaliyowashirikisha wazee kutoka kata zote za Arusha mjini.Wagombea wote walitumia fursa hiyo muhimu kunadi sera za vyama vyao.
   
 2. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Midahalo wanaogopa lakini ukiwaambia maandamano wanakwenda kwavile huko ni kutembea tu hakuna kuulizwa maswali!!
   
Loading...