Elections 2010 Kiduku kaja mjini, Hebu sikiliza anachosema

sasa mbona kavaa ile rangi inayoleta kichefuchefu. na anaposema uzoefu anamaanisha wa kuiba, wa mikataba feki, wa kuvunja sheria za nchi au anasema tuchague wenye uzoefu gani?
 
Subiri next video atajibu hayo maswali.:becky:
 
Uzoefu ni kuchukua masuulia yote ya kuongoza nchi, yaani usalama, uchumi, nk. hakuna nafasi kwa wanafunzi katika uongozi wa nchi. kuongoza si lele mama inataka walio na uzowefu. wananchi wenyewe wanajionea Tanzania ilivyopiga hatua miaka 20 iliopita.
 
sasa mbona kavaa ile rangi inayoleta kichefuchefu. na anaposema uzoefu anamaanisha wa kuiba, wa mikataba feki, wa kuvunja sheria za nchi au anasema tuchague wenye uzoefu gani?

Tatizo rangi au watu??Ficha upumbavu bro
 
Uzoefu ni kuchukua masuulia yote ya kuongoza nchi, yaani usalama, uchumi, nk. hakuna nafasi kwa wanafunzi katika uongozi wa nchi. kuongoza si lele mama inataka walio na uzowefu. wananchi wenyewe wanajionea Tanzania ilivyopiga hatua miaka 20 iliopita.

Mungu Ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom