Last resort kwa CCM kushinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Last resort kwa CCM kushinda

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kachanchabuseta, Oct 1, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kadri siku zinavyoisha kuelekea uchaguzi CCM imeishiwa hoja
  inaona Dr Slaa anapaa

  Mkakati ifuatayo inatumika
  1. KUTUMIA JWTZ KUTISHA WATU hapa wakubwa wanalindana mwenzao wanaona anakaribia kufa kifi kibaya

  2.USALAMA WA TAIFA kuwaziba midomo watu na taasisi zote zinazotoa elimu ya uraia kwa piga kura, countdown soon utasikia kakobe wanamrushia makomboro

  [​IMG]
  HAPA WANAJIWEKA FIT KWA UCHAGUZI, ILA USIOGOPE WAKIMWAGA MBOGA SISI TWAMWAGA UGALI
  Mytake

  JWTZ WAMEINGIA CHOO CHA KIKE
  WATANZANIA WA LEO SIO WA JANA
   
 2. simon41

  simon41 Senior Member

  #2
  Oct 2, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  most of them they do not know what they are doing,we upper stand now
   
Loading...