Kura za JK katika JF zaongezeka ghafla! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kura za JK katika JF zaongezeka ghafla!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by QUALITY, Oct 1, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Uvamizi unaonekana kuendelea katika JF baada ya kura kuongezeka kutoka 1,556 hapo jana saa 11 jioni (1700) hadi kufikia 1,777 leo saa nane dakika 32 (14:32 hrs). This is a tremendous efforts has baada ya kuzomewa huko katika kampeni zake.
   
 2. S

  Sir Leem JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Kwa hiyo ulitakeje?Unataka kutueleza kila anaye ingia JF ni mpenzi Slaa?Au asilimia kubwa ya wanachama wa JF ni Chadema?
   
 3. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2010
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wale wale!
   
 4. MasterMind

  MasterMind Senior Member

  #4
  Oct 1, 2010
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo ndipo watanzania wenzangu mnaponichosha, sasa kama unaona wenzio wanatumia strategy fulani kufanikiwa si wewe unajaribu the same ili muwe level au?? obviously itakuwa wao wame-mobilize wafuasi wao wajisajili na kuipigia kura CCM, kwa maana si kwamba kila mwananchi ni member wa JF - wapo wengine wengi ambao si members, sasa ukifanikiwa kuweza kuwashawishi watu wajiunge na kupiga kura - dont u think kama hiyo inaweza kuchangia kuongezeka kwa kura??

  Cha muhimu ni CHADEMA pia kujitahidi kuwahamasisha watu wajisajili na kuwapigia kura - then automatically mtaona jinsi idadi inavyozidi kuongezeka au siyo?
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Kura za Dr slaa Sio za kuchakachua aka utumizi Wa strategy chafu.....we don't have time for politics za maji Tama.
  ntaxhajachua haapa je kwenye chumba cha Jura mtachakachua pia? Hapo ndipo mtakapotambua Kuwa tarime IPO nchi nzima
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  Hawataweza kitu kwa sababu polls zipo nyingi na kuzichezea hizo zote siyo rahisi hata kidogo.

  Hata SYNOVATE wako njiani kumjulisha JK kuwa the game is over...................
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,512
  Likes Received: 5,744
  Trophy Points: 280

  wakati unaambiwa njoo ccm unakimbilia upinzani sasa hiyo ndio ccm yenyewe na subiri oct 31 utaijua vizuri...
  Karibu sana
  mtoto kwa baba akui hata siku moja
   
 8. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  wale wale!
   
 9. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  mbona zikiongezeka za slaa huongei!
   
 10. S

  SUWI JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sio mpenzi wa Slaa... Ni mchukia ufisadi KAMA ALIVYO DR. SLAA.
   
 11. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Haongelei za Slaa kama vile ambavyo huongelei za Kikwete.
   
 12. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  haha sijawahi kuongelea za kikwete wala za slaa!.. nafkiri bado anahitaji elimu ya domokrasia.. kwamba pale juu ni mtu anauhuru wa kuchaguwa yoyote na haina haja ya ku complain kwa nini za fulani zinaongezeka
   
 13. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  za slaa haziongezeki kwa mkupuo kama wa kura za kikwete.

  Kikwete alipata kura mia tano ndani ya siku moja, kisha jana akapata kura 250 ndani ya masaa machache tu. Online polls haziendi hivi.
   
 14. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #14
  Oct 1, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Wasted :llama:
   
 15. E

  Emanuel Sabanja New Member

  #15
  Oct 1, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama wengi tunavyojua, JF ni jamii si ya watu wa aina moja hata kidogo. kwa hiyo ndiyo maana kuna demokrasia ya kuchagua na siyo kufuata upepo.......
   
 16. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #16
  Oct 1, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nawashukuru wote kwa demokrasia ya mawazo. kwa wafuatiliaji, kura hizi zinaongezeka taratibu. Uchakachuaji hata kama upo, lazima tutafika mahaliambapo watanzania watataka maendeleo siyo bla bla. Nadhani hata wapenzi wa Dr. Slaa, hawana haja ya kutafuta strategy ya kuongeza kura kwa kuchakachua bali tuendelee kuhamasisha wale wote wachukia ufisadi wajitokeze 31.10.2010 tuue nyani bila kumwangalia usoni. Tunachotaka ni maendeleo ya watanzania walio wengi. Mungu awabariki walewote wanaochukia ufisadi na wizi wa mali za umma. :smow:
   
 17. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #17
  Oct 1, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Asante sana kwa mtazamo huu, tuko pamoja sana kwenye hili.

  Ukweli ni kwamba ushindi kwa upinzani is just an illusion.
   
 18. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #18
  Oct 1, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  crap
   
 19. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #19
  Oct 1, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  madrassa al sul
   
 20. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #20
  Oct 1, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Pole pole na hayo makombora yenu mnayoyaelekezea pande enyi Mwafrika, Shalom etc, lol!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...