Kikwete naye je ataweza kuwa raisi wa tanzania 2011? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete naye je ataweza kuwa raisi wa tanzania 2011?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mtaka Haki, Oct 1, 2010.

 1. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  1. RAISI Kikwete HAWEZI KUONGEA ZAIDI YA DAKIKA. 10 kwa kipindi hiki. Akichaguliwa ni nani ajuaye kuwa itafikia mahali ziwe dk. 5 tu.
  2. Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni kupuuza watanzania kwa kutokujali.
  3. Kule kuzidishiwa nguvu ya majini bado hajakanusha na tunasikia ameendelea kuanguka ila haitangazwi.
  4. Kama kweli tunampenda rais Kikwete tumtakie maisha marefu aounguziwe majukumu mazito kama ya uraisi. Nawaomba tujali afya ya rais
  MATAMSHI YAKE YANAONYESHE KUFICHA JAMBO KWA WANAOJUA SAIKOLOJIA.
  5. Wako wanaosema kuwa rais ananyanyapaa watu wa ukimwi kwa kusema ni kiherehere chao.
  6. Na hata watoto kupata mimba wakiwa mashuleni ni kiherehere chao.
  7. Watu wanaweza kufikiri kwa kuwashambulia wanaoogua ukimwi, hasa kwa mtu mwenye heshima ya uraisi ni kujaribu kufikisha ujumbe fulani au kuficha jambo fulani.
  TAFADHALI KUONYESHA UPENDO WETU KWA RAISI WETU TUMPUMZISHE.
   
 2. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,488
  Likes Received: 1,217
  Trophy Points: 280
  bora raisi apumzike miaka mitano ni mingi mno kwa huyu mtu
   
Loading...