Maeneo ambayo yatatumika kuandaa kura za kuchakachua ili kuipa ushindi ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maeneo ambayo yatatumika kuandaa kura za kuchakachua ili kuipa ushindi ccm

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by urasa, Oct 1, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  watu wamepatwa na mshituko kuona mnadhimu mkuu wa jeshi akitoa kauli za utata,hakuna jipya ni mwendelezo wa kutoa vitisho kwa wananchi ili kuhalalisha ushindi kwa ccm,upinzani kuweni macho na maeneo ya kambi za jeshi mlalakuwa,makongo,jitegemee,kwani lolote linaweza kutokea ndio maana mmemwona mnadhimu ametoa vitisho mapema ili kuhalalisha uharamia utakaofanyika,hakuna kulala hadi kieleweke
   
Loading...