Binafsi namuona Dr. Slaa kama mtu maarufu zaidi kwenye Kampeni za uchaguzi wa Mwaka huu. Lakini kwa upande wa Pili namuona kama Daudi kwenye simulizi za Biblia aliyemshinda Goliathi, Daudi alikuwa...
Ndio nimeingia Bukoba jioni hii na nimebahatika kusikiliza kipindi cha kimoja ndani ya radio hii mnamo saa 3.30 usiku. kilichokuwa kinazungumzwa nimeshindwa kuelewa hasa muda wa kampeni zinaisha...
Salaam Ndugu zanguni:
Ama baada ya salaam ningependa kuwatakia heri na pilikapilika za uchaguzi. Pamoja na hayo ni lazima tuendelee kupanuana mawazo na kuacha kuchukulia siasa kama ushabiki wa...
Monday, 11 October 2010 07:48
Daniel Mjema,
Same
WAZIRI mkuu mstaafu, Frederick Sumaye jana aliibuka hadharani na kutoa hotuba kali ya kukemea wagombea wanaotoa rushwa, akisema kuwa njia...
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM), katika kata ya Kukirango wilayani Butiama mkoani Mara, Lucas Magweiga (43), amejiengua kwenye chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
kumekuwepo na matumizi makubwa ambayo hayajawahi kutokea yakiendeshwa na chama kilicho madarakani, sasa mimi na wewe tukiwa watanzania wenye nia ya kuona nchi yetu inapiga hatua ya kimaendeleo...
Ndg wana JF.
katika pitapita yangu nimekutana na opinion poll inayoendelea kupitia link hii http://tzpoll.com/?page_id=195
Poll zote zinazoendeshwa kwenye net Dr. Slaa ni zaidi hawa REDET...
NDUGU WANA JAMVI, NIMEKUTANA NA ARTICLE HII KATIKA MAIL ZINAZOZUNGUKA MTAANI
Subject: Maisha Bora ni yapi?
Viongozi wa juu wanalipwa mishahara mizuri sana na hapo hapo hawalipii zile huduma...
Slaa: Watanzania ipuzeeni CCM
Asema imeonyesha dalili za kufa
na Mwandishi wetu
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amewataka...
Tanzania People's Defence Force
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jump to: navigation, search
This article does not cite any references or sources.
Please help improve this article by...
Nimekuwa nasikiliza kampeni za wagombea urais mbali mbali kunadi watakachokifanya kuboresha hali za Watz walio masikini, lakini sijamsikia mgombea wa CCM, Jakaya Kikwete akiahidi kwamba...
Wandugu hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza kila siku,hawa wenzetu wa chama cha nambari wani wametumia/watakuwa wametumia shilingi ngapi kwenye huu uchaguzi hadi uishe? na hizi hela wametoa...
Kuna hili sakata la wanavyuo kushindwa kupiga kura kutokana na vyuo kuchelewa kufunguliwa, mpaka sasa sijapata habari zaidi ya ile walipokwenda kwa waziri mkuu, je kuna kinachoendelea? na kama...
Wana Jamii wote na wapenda maendeleo nina wazo moja.Naomba uongozi wa juu wa Jamii forums utoe publically utafit na kura za maoni kama walivyofanya REDET na Synovate.Nadhani hamna kikwazo chochote...