Elections 2010 Kura za MwanaHalisi: Slaa AONGOZA

MHANJO

Member
Sep 16, 2010
34
0
Jakaya Kikwete 8%

Willbrod Slaa 87%

Ibrahim Lipumba 4%

Mutamwega Mugahywa 0%

Hashim Rungwe 0%

Paul Kyara 0%

Christopher Mtikila 1%

Peter Kuga Mziray 0%

Total votes: 1714
 
Ni sawa na kuuliza makofi polisi.Hata hizi poll zikifanywa na gazeti uhuru au mzalendo Kikwete ataongoza kwa 90%
 
Daily news hadi wanatoa Slaa alikuwa anaongoza kwa 78% nadhani nao walitoa kwa style ya Synovate
 
Inawezekana the new President Dr. Slaa ana hizo asilimia kwa gazeti hilo but tunataka kujua hayo ni maoni ya wasomaji wa gazeti hilo au wamiliki na wafanyakazi wake? by the way Slaa is the president even God HAS AFFIRMED IT.
 
Ni sawa na kuuliza makofi polisi.Hata hizi poll zikifanywa na gazeti uhuru au mzalendo Kikwete ataongoza kwa 90%

Kwani hii poll ya Mwanahalisi hiko online au kwenye paper? Kama online Slaa ataongoza tu labda iwe imeandikiwa code ya kuchakachua matokeo. Mbona TSN waliweka poll kama hii na Dr. Slaa kuongoza na baadaye kuiondoa kabisa hata kwenye archive yao!!!!!!!
 
Nyota njema huonekana asubuhi/alfajiri. Dr slaa anakubalika katika mioyo ya watu. Hana sababu ya kuwa na hasira na kuta za nyumba za watu, vyoo, gesti, baa, miti, magari, baiskeli, pikipiki, bafu, magezi, nyua etc. Zinanuka picha za wagombea wa ccm. Huu ni uchafu. Tulaani vikali kitendo hiki kwa kutoa kura kwa chadema na dr slaa.
 
Kwani hii poll ya Mwanahalisi hiko online au kwenye paper? Kama online Slaa ataongoza tu labda iwe imeandikiwa code ya kuchakachua matokeo. Mbona TSN waliweka poll kama hii na Dr. Slaa kuongoza na baadaye kuiondoa kabisa hata kwenye archive yao!!!!!!!
online
 
wanachadema mnajazba!!! slaa kaongoza gazetini shangilieni.... asilimia zaidi ya 55% ya watanzania wanaishi sehemu za vijijini ambako hawa habari na polls! mkumbe wa nyumba 10 ni ccm, hawajui chama kingine zaidi ya ccm! .. but hongereni slaa kashinda GAZETINI:becky:
 
Unayebishi kuhusu hizo poll nawe tunakupa hongera kwa kuwa wewe pia fisadi. lakini kumbuka hata mbuyu ulianza kama uyoga.
 
wanachadema mnajazba!!! slaa kaongoza gazetini shangilieni.... asilimia zaidi ya 55% ya watanzania wanaishi sehemu za vijijini ambako hawa habari na polls! mkumbe wa nyumba 10 ni ccm, hawajui chama kingine zaidi ya ccm! .. but hongereni slaa kashinda GAZETINI:becky:
Kijiji cha kwenu Bumbuli hakuna gazeti lakini kule kwetu Karatu magazeti yapo bana
 
Matokeo kutoka Moyoni mwangu:
Jakaya Kikwete -10% :becky:

Willbrod Slaa 98%

Ibrahim Lipumba 1%

Mutamwega Mugahywa 0%

Hashim Rungwe 0%

Paul Kyara 0%

Christopher Mtikila 1%

Peter Kuga Mziray 0%

Total votes: 1714​
 
Kijiji cha kwenu Bumbuli hakuna gazeti lakini kule kwetu Karatu magazeti yapo bana

kweli kabisa.. kwani kura za karatu ndio zitamfanya aongoze! kwasababu watu wa karatu ni zaidi ya 51% ya watanzania wote! nimekupongeza ndugu! vipi hiyo siku na wewe utakuwepo kupiga kura!! au kura yako ndio ushaipiga on-line kutokea south china:becky:
 
wanachadema mnajazba!!! slaa kaongoza gazetini shangilieni.... asilimia zaidi ya 55% ya watanzania wanaishi sehemu za vijijini ambako hawa habari na polls! mkumbe wa nyumba 10 ni ccm, hawajui chama kingine zaidi ya ccm! .. but hongereni slaa kashinda GAZETINI:becky:

Wewe njiwa kalale..
SLAA FOR PRESITENT
 
Kura kutoka vijiji vya Mbulu
Jakaya Kikwete 15%
Dr Slaa 75%
Ibrahim 8%
RuNgwe 1%
Mtamwega 1%
Dovutwa 0%

Wanaodai vijijini watampigia JK na CCM, wanafikiri vijiji vyote ni sawa na vya pwani. Mwaka huu watajionea aibu siku Dr Slaa akitangazwa.
 
wanachadema mnajazba!!! slaa kaongoza gazetini shangilieni.... asilimia zaidi ya 55% ya watanzania wanaishi sehemu za vijijini ambako hawa habari na polls! mkumbe wa nyumba 10 ni ccm, hawajui chama kingine zaidi ya ccm! .. but hongereni slaa kashinda GAZETINI:becky:
Unapokusanya maoni unachukua sampling na huwezi chukua sehemu zote, ila matokeo ya kura hizi za maoni tukiacha ushabiki pembeni nyota ya Slaa iko juu na hata hao synovate waliokusnya kura za mani vijijini bado Slaa alikuwa anaongoza
 
Back
Top Bottom