Kura za maoni-jamiiforums | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kura za maoni-jamiiforums

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mkombozi, Oct 10, 2010.

 1. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wana Jamii wote na wapenda maendeleo nina wazo moja.Naomba uongozi wa juu wa Jamii forums utoe publically utafit na kura za maoni kama walivyofanya REDET na Synovate.Nadhani hamna kikwazo chochote kukutana na waandishi wa habari na kuyatangaza ili kutoa picha kama uchaguzi ungefanyika leo nani angekua Rais.Nakaribisha maoni kutoka kwa wengine pia.
   
 2. M

  Masauni JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Good idea
   
 3. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Constructive initiative
   
 4. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  imekaa vizuri sana
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Tena naona itakuwa more realistic kuliko ya REDET ukizingatia watu ni atleast 8000 na watu ni tofauti tofauti sio makada wa chama tuu kama akina MS.
  Naona ni suala la kuamua tuu
   
 6. K

  Kimefika New Member

  #6
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Samahani kidogo,hivi zile online opinion polls results zilizotoka katika RaiaMwema tarehe 22 September si zilitoka huku Jamii Forums?Mmeshadili uongo wake kabla administrator hajabadili utaratibu na kusema member peke yake ndiyo wapiga kura?Nacccccccccccheeeeeka.Limewafika.Mlikimbilia kutoa za mtandaoni,mngejua mngeibakiza kama last nail.
   
 7. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #7
  Oct 10, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Watasema JF haiko reguistered kufanya kazi za Utafiti kwa hiyo matokeo yake ni ya uongo.
   
 8. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni wazo zuri..
  Baada ya Raia Mwema kutoa matokeo ya JF, ndiyo sokomoko ilipoanza, kubwa likiwa watu wengi sana kuingia kwa mkupuo (influx) hapa JF ili kuongeza kura za JK. Na kweli zimeongezeka katika muda mfupi mno.
  Baadhi yetu, kutokana na uzoefu wa taaluma hizi, tulishauri poll isitishwe, lakini naona bado inaendelea.
  Ni muhimu kwa JF kutoa matokeo ya kura hii ya maoni kwa sasa..japokuwa tayari imechelewa
   
 9. R

  Rugemeleza Verified User

  #9
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Naunga mkono. Ikitolewa rasmi na waendeshaji wake basi huo utakuwa ni msimamo kamili na utaweza kuchangia katika kurekebisha hali ya hewa chafu ilivyosababishwa na tafiti bandia za Synovate na REDET. Inatakiwa itolewe katika mkutano wa waandishi wa habari mkubwa uliondaliwa vizuri.
   
 10. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Napenda iwe hivyo.
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Hii ni nzuri ila unajua tatizo la public researches lazima uombe ruhusa serikalini ndipo utoa matokeo ila kwa hali ya mafisadi kupenda kuchakachua sijui kama watakubali. democrasia halisi tz bado!
   
 12. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  NADHANI NI WAKATI MUAFALA. maana kama wakati ule ilionesha vile, sasa inaonesha hivi. Hii haijalishi kama chombo kimekuwa registered kufanya utafiti au la. kwa mfano Radio Free Africa wana matikeo ambayo wanaweza kutoa kwa sasa.
  Gazeti la Majitra wana matokeo ambayo wangeweza kuyatoa hadharani.
  daily news, walikuwa na matokeo ambayo wangeweza kuyatoa hadharani n.k
  Wote watoe tuone nani yuko wapi??? Itakuwa nzuri sana. tanzania bila CCM inawezekana.
   
 13. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Siyo lazima MAFIDASI WAKUBALI; HUWA HAWAKUBALI
   
 14. Al-Watan

  Al-Watan JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,637
  Likes Received: 13,449
  Trophy Points: 280
  Kura ya maoni haina mechanism ya kuzuia mtu asipige kura zaidi ya mara moja.
   
 15. Z

  Zokaa New Member

  #15
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe na wewe kihiyo?Kuna kura 5,880 zilipigwa na visitors hapa JF kabla hamjabadili system na kusema members pekee ndo wapige kura.Imekula kwenu sasa.Watu wana analysis zao mkobani na jinsi raiamwema wasio na utaalumu wa online polls walivyozuzuka na kuwafisadi wananchi na kile kichwa cha habari tarehe 22/09/2010.Anguko linakuja.Ngoja ndugu wazidi kujiunga hapa.
   
 16. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Zokaa,
  karibu sana JF.
  Hapa ni vema kuingia kwa gia ndogo..usiingie kwa gia kubwa kama ulivyofanya. Tayari tumekujua pamoja na malengo yako.
  Anyway, endelea
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Oct 10, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Karibu sana Kimefika, na nadhani umeshapiga kura yako hapo juu ili kumuongezea JK idadi.
   
 18. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  NI SAWA LAKINI USISHANGAE IKAFUATIWA NA KUFUNGWA KWA JF. HATA HIVYO INABIDI PIA "METHODOLOGY" IAINISHWE. KWA MFANO MTU ANARUHUSIWA KUPIGA KURA MARA NGAPI. INGAWA HII NAYO INAWEZA KUWA DHAIFU KWA VILE WAGOMBEA WOTE WANGEWEZA PIGIWA KURA MARA KADHAA NA MTU HUYOHUYO. PIA NI AINA NA IDADI GANI YA WATUMIA MTANDAO.

  LAKINI WACHA WAJIRIDHISHE JF INAKARIBIA UKWELI. NDO MAANA WANAWEWESEKA NA KUANZA KUTUMA SMS ZA KIPUUZI. MIE NINAYO TOKA +3588976578. WANA MAWAZO MGANDO. TZ YA LEO SIO YA 1961!!:hat:
   
 19. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Kwanza karibu sana hapa jamvini ingawa unaonekana mwenyeji. Pili sijui kama umekielewa nilichoandika manake sipati connection. Labda niseme kwa ufupi, ni kwamba ili kufanya kura za maoni na kuzitoa kwenye press publicly lazima upate ruhusa kutoka serikalini, ni tofauti na haya maoni ya hapa jamvini. Chuo kikuu cha Tumaini kilitaka kufanya huu utafiti ili watoe matokeo kwenye gazeti la serikali lakini walikataliwa ndo wakapewa REDET, Synovate ilipewa ruhusa lakini kwa sharti la kutotoa matokeo kwa upande wa uraisi.

  Kwa haya machache nadhani waweza kujipa jibu mwenyewe kwamba kati yangu me na wewe KIHIYO ni nani manake umetoa jibu bila kuelewa swali!
   
 20. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Karibu, ni bora ungejitambulisha, ndo mmeamua vibaraka wa mafisadi kuingia na id nyingine ili mumuongezee fisadi mwenzenu kura? Jaribu ila mtaugua vidonda vya tumbo!
   
Loading...