Matumizi makubwa ya SiSiEmu ni kwa Ajili ya Kumuendeleza Mtanzania na Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matumizi makubwa ya SiSiEmu ni kwa Ajili ya Kumuendeleza Mtanzania na Tanzania

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by August, Oct 11, 2010.

 1. A

  August JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  kumekuwepo na matumizi makubwa ambayo hayajawahi kutokea yakiendeshwa na chama kilicho madarakani, sasa mimi na wewe tukiwa watanzania wenye nia ya kuona nchi yetu inapiga hatua ya kimaendeleo yawe ya kitaifa na kibinafsi, tuna bidi tujiulize kulikoni huyu anaye taka kutusaidia kuondokana na limbwi la matatizo iwe elimu, afya, barabara, na ya uchumi mifukoni mwetu, kwanini atumie hela nyingi saaana kutuvutia kwenye kampeni zake, na ili tumpigie?
  na hizo hela anazotumia kutuelimisha/kutushawishi atazirudisha vipi? na aliye mpatia hizo hela amempatia kwa masharti gani? na wanaweza kutupatia list ya wachangiaji wao? au ni siri?
   
Loading...