Kiki Hajamwimba JK mwaka huu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiki Hajamwimba JK mwaka huu?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Safari_ni_Safari, Oct 11, 2010.

 1. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  2005 alimtungia wimbo wakati wa uchaguzi...vipi 2010?
   
 2. K

  King kingo JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  This time jamaa hafai kabisa wenye akili timamu wote wanajiepusha nae, wanaogopa aibu
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wamebaki hawa vijana wa bongo fleva wanaganga njaa yao. Hawajali litakalowapata baada ya hapo. Nawaonea huruma.
   
 4. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Utu uzima dawa. Dalili hii inafunza kwamba hata kura za 2005, mwaka huu JK hatazipata
   
 5. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Siwalaumu, Njaa inawasumbua si unajua hawauzi
   
 6. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kwa hasira nitaongeza piracy ya kazi zao
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Hata Msondo Wameingia Mitini
   
Loading...