Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waheshimiwa nina furaha kubwa moyoni baada ya kuleta hapa jamvini maelezo ya vifaa vya kusaidia katika kuwaandaa kikamilifu mawakala ili waweze kulinda kura kwa umakini. Mtakumbuka kuwa niliomba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Kimetoa Ratiba za wanafunzi wanaotarajia kujiunga na masomo kwa mwaka wa masomo 2010/2011 kuchukua Admission letter. Ratiba hiyo inaoonesha kwamba Wanafunzi hao...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimeppokea habari kutoka Shinyanga sasa hivi, Dr Slaa anahutubia mkutano mkubwa mjini Shinyanga. Dondoo ni kwamba, Watu ni wengi sana hadi spika hazitoshi kutoa sauti kuwafikia wengine walio...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Hii article ya Makwaia wa Kuhenga from daily news ni kama inamuua JK vile, does this tell us that this guy too hamkubali JK kwa sasa? Who amongst us fits into the shoes of Nyerere? By MAKWAIA...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Umoja wa wanafunzi wa elimu ya juu(TAHLSO) watoa masaa 48 kwa serikali kutoa tamko kuhusu wao kupiga kura katika maeneo ya vyuoni walikojiandikisha.. La sivyo watafanya maandamano ya amani na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MGOMBEA urais wa CCM, Jakaya Kikwete jana alihamishia kampeni zake jijini Dar es salaam ambako aliahidi kuwajengea wafanyabiashara ndogondogo majengo ya kufanyia shughuli zao kwenye wilaya zote...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Source: The correct line - Uganda under Museveni, a book by Dr. Olive Kobusingye ‘There are now people of presidential calibre and capacity who can take over when I retire, and I shall be among...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nimekuwa nikifutilia ziara za kikwete za kampeni,amekuwa na akina yohana wabatizaji wake(wasafisha njia na washeheshaji kabla hajahutubia),dokii,flora mbasha,hafsa kavinja,na wanakati haswa kwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nilipojua Kampeni za Mbowe na comany yake ya Chama kumuandaa Mh Slaa kuwa ndio Mgombea wa urais, nilishtushwa sana. Kwa vile sikuwa na uwezo wa kutengua uchaguzi wao (kwa ukilitimba wao ndani ya...
0 Reactions
133 Replies
13K Views
Najua haki zangu za msingi na katika hizo haki kupiga kura sio haki ya msingi katika KATIBA, ibara ya 12-24 ya katiba ya jamuhuri wa muungano wa tanzania. aahaa kumbee hii ni haki ya kuwa raia wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
mwaka huu ndo mwaka niliokua nausubili kwa hamu hapa kwetu tanzania,maana heshima haitakuja bila kumwaga damu japo kidogo,ukiangalia nchi nyingi dunian zenye maendeleo chimbuko lake ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Niko kwenye kochi nimetulia nawaangalia wagombea ubunge wa jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya CHADEMA Philip Mogendi na Juliuus Mtatiro wa CUF na mgombea jimbo la Ubungo wakijadili mada ya keki ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Wadau, hali ya kiuchumi ni tete kwa sasa, na inavyoonekana, baada ya uchaguzi hali itakua mbaya zaidi..hii inatokana na pesa nyingi kuhamishiwa kwenye shughuli za uchaguzi na matumizi mengine...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Wiki mbili zinakutosha JK. Bwaga manyanga. Achana na urais Acha unafiki. Kazi ulishashindwa. Watanzania hawakutaki. Hao wapambe wachache wanaopewa shuka, fulana, kofia na usafiri wa bure...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
http://www.youtube.com/watch?v=HlvEiBRgp2M&NR=1
0 Reactions
2 Replies
948 Views
Ukweli ni lazima usemwe ,Zanzibar bila ya Tanganyika inawezekana sana ,kuendelea kuwa na Muungano usioeleweka ni kujizidisha kuangamia katika dimbwi la umasikini , Mimi kama Mtanzania ningelipenda...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Leo nimeingia kwenye ofisi moja kudai malipo,na nilikuwa nishataarifiwa kuwa malipo yapo tayari baada ya wiki niende,ile wiki imetimia leo,nikatia timu saa tatu asubuhi ya leo hii, majibu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ah! Chadema noma! Nimeona kupitia ITV hiyo nyomi ya hapo shy town. Nimeona hadh upeo wa macho yangu tu huo umati. Ee Mungu mapenzi yako yatimie katika mageuzi haya. Ccm bye. So sad
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo ktk taarifa ya habari ya saa mbili usiku ITV kuna mgombea udiwani wa CCM huko Masama ameonyeshwa akiwa analia lia kisa ati wanachama wa CHADEMA walimuwowa mbele ya kamanda mbowe!... ghafla...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…