Elections 2010 mwaka huu ndo mwaka wa kushikishana adabu watanzania!

fascist

New Member
Oct 6, 2010
2
0
mwaka huu ndo mwaka niliokua nausubili kwa hamu hapa kwetu tanzania,maana heshima haitakuja bila kumwaga damu japo kidogo,ukiangalia nchi nyingi dunian zenye maendeleo chimbuko lake ni udictator!hivyo serikali ya ccm itakapo ona damu ya watanzania imemwagika ndipo watakapo ona na kutambua sasa watanzania sio wale wa kipindi kile cha zilipendwa!!mi naona kuna kila sababu ya watanzania kupigana japo kidogo ili national cake iweze kukawanywa kwa usawa na sio kwa kina RK,JM, na wengineo!!
 
mwaka huu ndo mwaka niliokua nausubili kwa hamu hapa kwetu tanzania,maana heshima haitakuja bila kumwaga damu japo kidogo,ukiangalia nchi nyingi dunian zenye maendeleo chimbuko lake ni udictator!hivyo serikali ya ccm itakapo ona damu ya watanzania imemwagika ndipo watakapo ona na kutambua sasa watanzania sio wale wa kipindi kile cha zilipendwa!!mi naona kuna kila sababu ya watanzania kupigana japo kidogo ili national cake iweze kukawanywa kwa usawa na sio kwa kina rk,jm, na wengineo!!
Rudi kwanza nyumbani TZ halafu uje kumwaga kwanza damu yako maana huko Abrodi nasikia munakula matunda na vidonge vya vitamini kila dakika hivyo mwenzetu una damu ya ziada!!
Sisi tuache hivihivi maana hii damu kidogo tuliyonayo tukianza kumwaga sasa unataka tuzikwe ktk makaburi ya halaiki!!!
Watu kama nyinyi tunawahitaji sana murudi nyumbani maana damu yenu ni mbichi na inahamu ya kumwagika karibu nyumbani!!!
 
Utashangaa kuwa nchi nyingi zilzioendelea au zinazoendelea kwa kasi, walichinjana kwa namna moja au nyingine ndipo wakawa na mwelekeo walio nao hivi sasa; kwa mfano China ya leo pamoja na ukomunisti wao na ukiritimba wa madaraka, kiongozi yeyote akigundulika kala rushwa, basi atapata risasi ya kisogo bila huruma.Tanzania tumebahatika kuwa na amani na kutowahi kuchinjana kwa hiyo tukalea kikundi kidogo cha watawala wakawa kama wafalme. Sitashangaa iwapo kweli wimbi litatugeukia tukaanza kuchinjana wenyewe.
 
utashangaa kuwa nchi nyingi zilzioendelea au zinazoendelea kwa kasi, walichinjana kwa namna moja au nyingine ndipo wakawa na mwelekeo walio nao hivi sasa; kwa mfano china ya leo pamoja na ukomunisti wao na ukiritimba wa madaraka, kiongozi yeyote akigundulika kala rushwa, basi atapata risasi ya kisogo bila huruma.tanzania tumebahatika kuwa na amani na kutowahi kuchinjana kwa hiyo tukalea kikundi kidogo cha watawala wakawa kama wafalme. Sitashangaa iwapo kweli wimbi litatugeukia tukaanza kuchinjana wenyewe.

wachimvi wakubwa nyie!!!
 
Back
Top Bottom