Elections 2010 Mkuki mtamu kwa nguruwe...

ilboru1995

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,329
268
Leo ktk taarifa ya habari ya saa mbili usiku ITV kuna mgombea udiwani wa CCM huko Masama ameonyeshwa akiwa analia lia kisa ati wanachama wa CHADEMA walimuwowa mbele ya kamanda mbowe!... ghafla akapozwa kizenji na mgombea mwenza wa JK msanii Gharib Bilal!...Hivi hawa mafisadi wanajua wameua watanzania wangapi? wanajua watanzania wangapi wamekuwa vilema kutokana na mgambo wao wa kijani?... Wananchi hatuogopi tena vitisho vya mafisadi na mabasha wao... mbele kwa mbele TANZANIA BILA CCM ni ukombozi wa kweli kwa wananchi WANYONGE MASKINI WALIOKATA TAMAA. sometime soon inshaallah...
 
Back
Top Bottom