Elections 2010 Nimekubaliiiiiiiiii!!!!!

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,271
2,401
Ah! Chadema noma! Nimeona kupitia ITV hiyo nyomi ya hapo shy town. Nimeona hadh upeo wa macho yangu tu huo umati. Ee Mungu mapenzi yako yatimie katika mageuzi haya. Ccm bye. So sad
 
Ah! Chadema noma! Nimeona kupitia ITV hiyo nyomi ya hapo shy town. Nimeona hadh upeo wa macho yangu tu huo umati. Ee Mungu mapenzi yako yatimie katika mageuzi haya. Ccm bye. So sad

Mwenyezi Mungu mapenzi yako yatimie katika mageuzi haya.

'hivyo Dr. Wilbrod Slaa ndiye mshindi wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa miaka mitano ijayo 2010 -2015' NEC

Loh!!! yaani nasubiri kwa hamu.
 
Nina hasira la kijani kibichi hadi nkiona mimea moyo unansimama kwasababu ya hawa jamaa wanaokula neishno keki wenyewe tu!
 
Back
Top Bottom