Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,744
Ukweli ni lazima usemwe ,Zanzibar bila ya Tanganyika inawezekana sana ,kuendelea kuwa na Muungano usioeleweka ni kujizidisha kuangamia katika dimbwi la umasikini , Mimi kama Mtanzania ningelipenda Muungano huu uliopo ujadiliwe upya na ikiwezekana ,tugawane mbao. Je wewe unasemaje ?