Homa ya uchanguzi hajaniingia na kwanini Dr. Slaa hatoweza kuwa raisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Homa ya uchanguzi hajaniingia na kwanini Dr. Slaa hatoweza kuwa raisi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by BABA JUICE, Oct 18, 2010.

 1. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Najua haki zangu za msingi na katika hizo haki kupiga kura sio haki ya msingi katika KATIBA, ibara ya 12-24 ya katiba ya jamuhuri wa muungano wa tanzania. aahaa kumbee hii ni haki ya kuwa raia wa nchi ndio uweze kupiga kura, wingi wa watu kupiga kura haimanishi watu wameelimika sana katika haki yao ya uraia. mfano mzuri wanachama wayanga waLIPOMUONDOA MADEGA madarakani haikumanisha kama wanajua haki zao hapana ni kwamba walichoshwa na uongozi wa madega.Je watanzania wamechoshwa kweli na uongozi wa ccm? nimekaa nikaumiza kichwa nikasema kwa miakaa hii mitano ccm imefanya nini hili swali angejibu kikwete,okay kwa mfano mimi na ww tunampa dr. slaa kura na wanachama 2500 wa jamii forum hizo zitamtosha?sizani, sitaki kusema sana watu wakasema haya mwingine huyo, kama ni kamari thamani ya dr.slaa ni 15.00 na kikwete ni 1.16,mwenye njaa na maskini hawana matumaini lakini siku ya uchaguzi utasika kiongozi wa chama chetu akisema tukishinda naangusha ngombe na chakula cha kutosha hiyo ni rushwa ya mawazo, mtu akienda kupiga kura kichwani anafikiria kiongozi yule kasema akishinda kutakuwa na bonge la sherehe ww unafiki kweli dr.slaa ataambulia kura kwa maskini na wenye njaa,wengi wa mjini hawarubuniwi na sherehe za baada ya uchaguzi nenda mikoani utona{nakumbuka 2005 mizinga ya konyagi na Nyama choma} Siku maskini na wenye njaa wakichoka ccm itaondoka Madarakani.

  A person who start to give reason by criticizing is an ignorant: judge by REASONS
   
 2. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,187
  Trophy Points: 280
  Nasikia kizunguzungu !
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  hata mimi.
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Jamani aliyeelewa ujumbe huu naomba anifahamishe katika lugha rahisi.
   
 5. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ujumbe huu na mimi nimeshindwa kuuelewa. Jamaa ameongea kwa kisengelenyuma.
   
 6. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #6
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  .........................笨
   
 7. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa utaambiwa umecriticize...lakini nijuavyo criticism si ugonvi


  Peace be Upon You
   
 8. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,682
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Kweli safari hii jamvi limevamiwa, yaani kila thread unayoenda unakutana nao:nono:
   
Loading...