Dr Slaa Anahutubia Shinyanga Mjini sasa hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa Anahutubia Shinyanga Mjini sasa hivi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Saharavoice, Oct 18, 2010.

 1. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Nimeppokea habari kutoka Shinyanga sasa hivi, Dr Slaa anahutubia mkutano mkubwa mjini Shinyanga.

  Dondoo ni kwamba, Watu ni wengi sana hadi spika hazitoshi kutoa sauti kuwafikia wengine walio mbali na Jukwaa kuu.

  Saa ya ukombozi imefika tushirikiane sote kuikomboa nchi yetu


  [​IMG]  Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, aakiwahutubia maelefu ya wakazi wa mji wa Shinyanga na vitongoji vyake, katika mkutano wake wa kampeni jana. (Picha zote na Joseph Senga)


  [​IMG]
   
 2. k

  kukubata Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani watanzania tutelimika lini cc maana mkombozi kafika ila ss bado tujajitambua
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Hv jm bado hajaanza kubeba mizigo yake tuu!??
   
 4. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Habari njema tulitegemea hayo.Makani yupo hapo kwenye kikao?, tunakushukuru kwa taarifa ikiwezekana picha tafadhali tuko pamoja
   
 5. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani hapo shy hakuna wadau watupe picha, wadau mlio shy tupeni raha jamani.
   
 6. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,841
  Likes Received: 2,772
  Trophy Points: 280
  Mkuu hata mimi nimepewa taarifa sasa hivi kwamba mkutano unafanyikia kwenye viwanja vya Lubaga Joshoni watu ni wengi haijapata kutokea! Watu wamejaa mpaka soko jipya Lubaga. Watu mpaka wa vijiji vya jirani na Manispaa ya Shinyanga wamekuja kwenye mkutano huo. Yaani naambiwa kwamba watu wameanza kuingia uwanjani tangu saa 5 asubuhi ilhali wakijua mkutano unaanza saa 10 alasri. Huu ni mwanzo tu kiama ni hapo tarehe 31/10/2010 mafisadi watakapong'olewa madarakani. Sasa naanza kuamini kuwa CCM hawashindi hata kwa 30% labda waibe kura.
   
 7. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Ila bado ninajiuliza, kama kweli wingi wa mahudhurio mikutano ya kampeni ni kipimo cha wingi wa kura basi mwaka huu ni hatari. Watu wahamasishwe kama wanachukua masaa mawili kumsikiliza Slaa na wabunge na madiwani wake, basi watumie masaa 8 kupiga kura ili kumuunga mkono. Na ni once in five years, mabadilio ya kweli yatokee.
   
 8. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwa nini hawakufanyia Kambarage?
   
 9. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Nadhani tusijikite kwenye historia zaidi, naona wengi wetu tunaangalia ya 1995, lakini ni vema tukabadilika ili matokeo yakitoka tusishangae sana.mwaka 2010 ni tofauti sana.Ni kizazi tofauti kwa kiwango kikubwa, tunaambiwa wapiga kura 50% ni wa umri 18-35, that one can make the big difference.
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...yethu na maria
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  huyu Dr.Slaa bana ananipa raha sama..Mimi ni CCM damu lakini aaaagh kama noma na iwe noma mi nampigie kura Dr.Slaa kama kunishugulikia nishugulikieni bana
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ni mda wa mabadiliko sasa ila tusi hudhurie mikutano peke yake kisha tukaacha kupiga kura

  Slaa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 13. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Wana-CCM waliokichoka chama hicho ni wengi na wengi wamemchoka kiongozi wao. Niliwahi kumuuliza swali la kizushi mbunge mmoja kijana wa CCM juu ya serikali yao naye akajibu kuwa hajui ushauri wa kijuha jmk anaupata wapi. Hapo ilikuwa ilikuwa mwaka 2006, mwaka mmoja baada ya msanii kuingia ikulu. Sitashangaa kuona wagombea ubunge wa ccm wakijipigia kura wenyewe na kumchagua rais wa upinzani.
   
 14. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 415,867
  Trophy Points: 280
  When God is with us who can be against us?
   
 15. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  confirmed !!! Ndugu yangu yuko kwenye huu mkutano anasema ilikuwa balaaaaaa watu wamechanganyikiwa wanataka kupiga kura hata hii leo...Dahhh ,eeeh baba mungu muumba mbingu na ardhi mpe afya na busara huyu baba(Dr.Slaa) tumeonewa na kudhulumiwa sana miaka 50 sasa.wewe ni muweza wa yote na sasa sala na maombi yetu yako kwako okoa nchi hii mikononi mwa wanyang'anyi
   
 16. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  maneno mujaraab haya...
   
 17. T

  Tanzania Senior Member

  #17
  Oct 18, 2010
  Joined: Jun 6, 2008
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama wewe si FISADI au mtoto wa FISADI, kutompigia Dr. Slaa you are looser. Dont think that Dr. Slaa has anything to loose.
   
 18. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Uwanja wa Kambarage Shinyanga ni Uwanja wa Chama Cha CCM kama viwanja vyote vikubwa Mikoani na Jijini Dar-es-salaam
  Kwahiyo kama wewe sio CCM then tafuta uwanja wako
   
 19. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Eee Mola, sikiliza sala za waja wako wanaokulilia toka huku bondeni kwenye machozi.
   
 20. h

  hagonga Senior Member

  #20
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Safi sana! tutashukuru tuipata picture!
   
Loading...