Elections 2010 CHADEMA Yasambaza vifaa vya kufundishia Mawakala nchi nzima

Kamende

JF-Expert Member
Mar 1, 2008
416
0
Waheshimiwa nina furaha kubwa moyoni baada ya kuleta hapa jamvini maelezo ya vifaa vya kusaidia katika kuwaandaa kikamilifu mawakala ili waweze kulinda kura kwa umakini.

Mtakumbuka kuwa niliomba msaada wa kuingiza video hiyo humu jamvini baada ya kuiconvert kuwa VCD. Tayari CHADEMA wamebadili DVD hiyo ya mafunzo na kuifanya VCD ili kila atakayeipata aweze kuicopy. Pia wamechapisha nakala nyingi za kipeperushi cha mwongozo wa wafundishaji baada ya kukiboresha. Asanteni sana makamanda wa NGOME makao makuu.
Siku ya Jumapili wiki iliyopita makamanda wa CHADEMA walikuwa Kituo Kikuu cha mabasi yaendayo mikoani Ubungo wakituma vifurushi vya vitini hivyo vya mwongozo mia moja na VCD moja kwa kila jimbo la Tanzania.

Wakuu nawaomba sasa mvifuate vitendea kazi hivyo kwa makatibu wa mikoa, majimbo na wilaya zenu ili mutoe msaada katika kuwezesha mafunzo majimboni mwenu.

KWA HAKIKA TUTASHINDA: KILA MMOJA WETU ASHIRIKI KAZI HII TAKATIFU!!
TUTALIPWA MBINGUNI!!!
MBARIKIWE SANA NA MUNGU!!!
 
Jatropha

JF-Expert Member
Apr 9, 2009
1,152
1,250

nilitafuta ile post yako kwa ajili ya kusaidia katika neo letu sikuoina. Je unaweza kuiweka tena hapa ili itusaidei?
 
Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
9,617
2,000
Waheshimiwa nina furaha kubwa moyoni baada ya kuleta hapa jamvini maelezo ya vifaa vya kusaidia katika kuwaandaa kikamilifu mawakala ili waweze kulinda kura kwa umakini.

Mtakumbuka kuwa niliomba msaada wa kuingiza video hiyo humu jamvini baada ya kuiconvert kuwa VCD. Tayari CHADEMA wamebadili DVD hiyo ya mafunzo na kuifanya VCD ili kila atakayeipata aweze kuicopy. Pia wamechapisha nakala nyingi za kipeperushi cha mwongozo wa wafundishaji baada ya kukiboresha. Asanteni sana makamanda wa NGOME makao makuu.
Siku ya Jumapili wiki iliyopita makamanda wa CHADEMA walikuwa Kituo Kikuu cha mabasi yaendayo mikoani Ubungo wakituma vifurushi vya vitini hivyo vya mwongozo mia moja na VCD moja kwa kila jimbo la Tanzania.

Wakuu nawaomba sasa mvifuate vitendea kazi hivyo kwa makatibu wa mikoa, majimbo na wilaya zenu ili mutoe msaada katika kuwezesha mafunzo majimboni mwenu.

KWA HAKIKA TUTASHINDA: KILA MMOJA WETU ASHIRIKI KAZI HII TAKATIFU!!
TUTALIPWA MBINGUNI!!!
MBARIKIWE SANA NA MUNGU!!!
Wakumbuke kuna vituo karibu 52,000 nchi nzima, hivyo wawe na mawakala makini 52, 000 na mawakala mbadala 52,000 pia ambao watawa-leave wale 52,000 wa kwanza endapo watachoka au ili kuongeza ufanisi kwa maana ya kupeana shift kama sheria ya taifa ya uchaguzi inavyoelekeza ingawaje yenyewe inamkubali wakala mbadala mara yule wakala mwenyewe anapata dharura; hivyo wale wote wa kwanza watapata dharura ili kupata mbadala - mfano mzuri ni mechi ya mpira wa mguu anapochoka mmoja mfano kuumia uingia mwingine - basi na Chadema mfanye vivyo hivyo!

Rai yangu nyingine ni kwamba mawakala wa Chadema ili kuwa makini muda wote wafuate yafuatayo: wasikubali vyakula kutoka kwa mtu yoyote ikiwemo tume basi wafanye yafuatayo: 1. wachukue vyakula vyao wenyewe - maji makubwa ya kilimanjaro, 2. chakula cha safari (elimu ya darasa la nne) hasa vyakula vyenye ngano ambavyo humfanya mtu kufunga choo na kuepuka kuhudhuria ****** mara kwa mara [vyakula vya mafuta mafuta kama chipsi hapana], 3. kula matunda kama machungwa - matatu tu tosha [ndizi mbivu hapana], wawe na dawa kama panadol kwa ajili ya kutuliza maumivu na kuondoa uchovu.

Madhara ya kupokea vyakula kutoka tume ya uchaguzi au kwa mtu mwingine ni kulambishwa dawa za kulevya na kupiga usingizi mzito hasa wakati wa kuhesabu kura na kubandika matokeo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom