Wanafunzi wa elimu ya juu watoa masaa 48 kwa serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi wa elimu ya juu watoa masaa 48 kwa serikali

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Msolo, Oct 19, 2010.

 1. Msolo

  Msolo JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 868
  Likes Received: 676
  Trophy Points: 180
  Umoja wa wanafunzi wa elimu ya juu(TAHLSO) watoa masaa 48 kwa serikali kutoa tamko kuhusu wao kupiga kura katika maeneo ya vyuoni walikojiandikisha.. La sivyo watafanya maandamano ya amani na kufungua kesi mahakama kuu, kupinga na kuzuia uchaguzi wa 31October 2010
   
Loading...