JK Muogope Mungu. Umetenda Mabaya Mengi Kuliko Mema. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK Muogope Mungu. Umetenda Mabaya Mengi Kuliko Mema.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ng'wanangwa, Oct 18, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Wiki mbili zinakutosha JK. Bwaga manyanga. Achana na urais

  Acha unafiki. Kazi ulishashindwa. Watanzania hawakutaki.

  Hao wapambe wachache wanaopewa shuka, fulana, kofia na usafiri wa bure wanawakilisha sehemu ndogo sana ya Watanzania.

  Watanzania wengi wamekuchoka JK. Ulichoahidi mwaka 2005 hakuna hata kimoja umefanya.

  Seriali yako imejaa kashfa za ufisadi, LAKINI kwa makusudi kabisa, pengine kwa kuwaona Watanzania mazumbukuku, hujawahi kuzungumzia namna utapambana na ufisadi ukichaguliwa tena.

  JK unataka Urais wa nini?

  JK wewe siyo Mungu(of course hata mimi siyo Mungu). Lakini, I warn you. Watanzania hawakutaki. Kama utang'ang'ania kuiongoza jamii ya watu ambao hawakutaki, HAKIKA HAUTADUMU. UTAAIBIKA!!
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Alivo mbishi huyu unadhani atakusikiliza
   
 3. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I salute you comrade

  Pili uwe unakumbuka kutoa thanks maana umepata Thanks nyingi lakini hujatoa hata moja

  Tatu na mwisho Nakupongeza kwa kazi nzuri uliyofanya kwa hizi wiki mbili. Nafikiri umemfunika malaria sugu

  Asalam Alekum (Peace be Upon You)   
Loading...