Kama mnakumbuka wakati wa kampeni kuna vijana wawili walikuwa wanatafutwa na polisi kwa tuhuma za kumfalisha mbwa jezi ya CCM. Pichani ni wanachama na wapenzi wa vyama vya CCM na CUF wakiwa...
Mageuzi ni kila mahali mwaka huu. Obama jahazi linaenda mrama na anaweza asirudi 2012!..... na CCM tunaisubiri tuitose.
Can't wait siku CCM nayo itakaa bench then ndio mtie akili na mkome kabisa...
Makamba sio kiongozi ila mtapanyaji na kile anakiwaza ni uwaribifu and at the last ataaibika na kuumbuka. Ccm sio yake wala asifikiri ajenda yake yakuwatafutia wana ccm spika itafanikiwa bungeni...
Nadhani Tanzania kuna upumbavu na upuuzi usioweza kuelezeka. Kuna haja gani ya kumsubiri Mwenyekiti Tume ya Uchaguzi aliyeko Dar es Salaam atangaze matokeo huku watu walikopiga kura...
Ndugu wana jf ,kila mtu atakubaliana nami kuwa kuna umuhimu wa kuanzisha operesheni 'utalii' kama ilivyokuwa operesheni sangara.nasema hivi kwa sababu mikoa muhimu ya kiutalii mfano Arusha na...
Yaani hata Hapa US wameanza kupiga kura za mid-term elections leo na matokeo ni leo leo. Tanzania watu wameanza kupiga kura Jumapili na hadi leo J'nne results za kueleweka hakuna. NEC mnapika...
Kwa mujibu wa habari ndani ya Mwananchi, Bwana Kinana amekiri kuwa CCM imepoteza viti 29 Tanganyika na 22 Zanzibar.
Anasema urais wanashinda kwa asilimia 78.4. Hii inaonyesha jinsi gani matokeo...
:israel::israel::israel::israel:MBUNGE MMOJA WA CHADEMA NI SAWA NA WABUNGE 30 WA CCM. KWA MAANA HIYO WABUNGE WATANO WA CHADEMA WALIKUWA SAWA NA WABUNGE 150 WA CCM. :A S-baby::A S-baby::A S-baby::A...
Maoni ya katuni
Watanzania wengi jana walijitokeza kupigakura kuwachagua rais, wabunge na madiwani kwa amani na utulivu.
Tunawapongeza sana wananchi kwa kujitokeza kwa...
Ili NEC iwe huru na haki Bunge lijalo ambalo naamini sasa lina wabunge wakutosha kutoka vyama vya upinzani, washinikize WAJUMBE WOTE WA NEC WAPITISHWE NA BUNGE, PIA TAKUKURU, WASIPOFANYA HIVYO NI...
Mimi siamini kama kuna mtanzania anayejua ni nani chaguo la watanzania katika kura za Uraisi na uchakachuaji umefanywa na NEC wakishirikiana na wasimamizi wa uchaguzi majimboni...
Kwa habari za tetesi zilizotoboka toka kwa umoja wa wakinamama ccm yasemekana kuwa hawakufurahishwa na ujio wa nakaaya na kwamba wanadai hamna nafasi ya binti huyo wa bongo fleva kuingia bungeni...
Jamani habari kutoka Makiungu Singida, mdogo wangu ambaye alikuwa mmoja wa mawakala wa Chadema anasema Lissu anongoza kwenye vituo vingi zaidi ya marambili ya mgombea wa CCM, Jonathan Njau...
Nimetaja CCM kwa sababu jana nilikaa na askari polisi pale ubungo kwenye vurugu ambaye alikuwa analalamika kuwa ucheleweshaji wa matokeo unasababisha vurugu lakini wa kulaumiwa ni NEC. Na walikuwa...
nasikia swala la ID card tanzania ni deal la bilioni 53 ndio maana kuna viongozi walioshindwa wanajaribu kuwarudisha kwanguvu ni kampuni ya kutoka nje europe wamepewa deal.wadau kama mnaijua...
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini matokeo ya kura za Urais na dhahiri kuwa Kikwete anampita Slaa kwa mbali.
Bado nashindwa kuamini lakini tumepoteza mpaka sasa unless kama kuna mtu anayeweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.