nasikia swala la ID card tanzania ni deal la bilioni 53 ndio maana kuna viongozi walioshindwa wanajaribu kuwarudisha kwanguvu ni kampuni ya kutoka nje europe wamepewa deal.wadau kama mnaijua issue hii tunaomba mturushe mtandaoni.

Na Masha ndio alipewa mikoba yote hivyo kugaragazwa kwake ni pigo kubwa sana na JK mwenyewe na mafisadi wengine.
Ila kuna uwezekano jk endapo atashinda atampa kitengo Masha ili mambo yasipotee jumla.
Na siyo Mashs tu, kwani jana Rich-Mond alitia timu pale Arusha Municipal Council Hq offices ili kujaribu kununua jimbo la Arusha Mjini. Inasemekana alifika dau la 900Million Tshs ampe Mpambanaji Lema ili amwachie jimbo Batilda. Lema akawaita Ndes-pesa na Mbowe nao wakaja dili likawa siyo deal tean. Isitoshe Lema akamwambia huyu fisadi kama unataka toka hapo nje na uwape hao jamaa hizo pesa na wakikubali poa zama ndani nikuachie hili jimbo. Hawa jamaa wanatumia sana Pesa zao kutaka kununua watu.
Mungu atuepushie mbali, tusije kuwa kama Yuda Iskariote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.