1 CHADEMA MP =30 CCM MPs | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

1 CHADEMA MP =30 CCM MPs

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kashaijabutege, Nov 2, 2010.

 1. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  :israel::israel::israel::israel:MBUNGE MMOJA WA CHADEMA NI SAWA NA WABUNGE 30 WA CCM. KWA MAANA HIYO WABUNGE WATANO WA CHADEMA WALIKUWA SAWA NA WABUNGE 150 WA CCM. :A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::juggle::juggle::juggle::director::director::director:
   
 2. M

  Munghiki Senior Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 153
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hiyo imetulia mkuu dis is the truth!
   
 3. K

  Kipenzi Chao Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sasa wako 16 tayari, hivyo CCM wanatakiwa wawe 16x30=480...! Je, watafika? Bila shaka wako hoi...!
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Safii sana
   
 5. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  WE DON'T NEED A BUNCH OF GREEDY MPs. We need few MPs who are effective.
   
 6. J

  Jackob Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli JF ina wasanii. Kama ni hivyo basi Chadema imeshinda kwa kishindo na ni vema Dr. Slaa akaapishwa kesho hata kabla ya kumaliza kuhesabu kura katika majimbo mengine maana sisiem haiwezi kufikia idadi hiyo ya 480 ambayo tayari kwa hesabu za Kashaijabutege imefika. Hongera sana. Bravo
   
 7. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  naamini hao wachache watafichua uovu wooote na safari hii bunge litakua kambi ya chadema nawaonea huruma wabunge wa thithiem maana nawasiwasi sidhani kama wataweza kukabiliana na wabunge makini
   
 8. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hiyo hesabu nimeipenda na ni scientific.
   
 9. S

  Siao Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 4, 2008
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha ha ha ha ha

  Nisaidieni basi, ni vikwete vingapi sasa ndipo iwe ni sawa na dr. wa kweli???
  ni zaidi ya 50i - hilo najua .. lakini ningapi?? ndo mnisaidie..!
   
 10. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kweli JF ina wasanii. Kama ni hivyo basi Chadema imeshinda kwa kishindo na ni vema Dr. Slaa akaapishwa kesho hata kabla ya kumaliza kuhesabu kura katika majimbo mengine maana sisiem haiwezi kufikia idadi hiyo ya 480 ambayo tayari kwa hesabu za Kashaijabutege imefika. Hongera sana. Bravo originally posted by Jackob

  Duh!imekuchoma!!pole sana kada wa CCM!!!
   
 11. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mmesahau kuwa mh.tundu lisu pekee ni sawa na bunge zima?? kama tundu lisu pekee akipita basi anawakisha watanzania wote, na yeye ndo bunge zima la jamhuri, namuonea huruma huyo spika atakaepita na kanuni zake za bunge la tundu lisu.
   
 12. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Yakobo

  Unashangaa nini? Mimi sio msanii, bali ni kidume mchambuzi. Tell me, having a sack of potatoes an a gram of gold, what would you prefer? Waliondelea main dish ni protein (chicken, fish, pork, beef) maskini main dish ni starch (ugali, pilau, ndizi, wali mweupe). Wewe ni yupi?
   
 13. sholwe

  sholwe Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu uko sahihi
   
 14. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,668
  Likes Received: 941
  Trophy Points: 280
  WE DON'T NEED A BUNCH OF GREEDY MPs. We need few MPs who are effective.
   
 15. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #15
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Unajielewa kweli??!:A S-coffee:!!
   
 16. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,668
  Likes Received: 941
  Trophy Points: 280
  WE DON'T NEED A BUNCH OF GREEDY MPs. We need few MPs who are effective.


  HAPO UMEONGEA LA MAANA :israel::israel:
   
 17. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  wenyewe wanajua hilo, liko wazi tangu siku nyingi.
   
 18. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,990
  Likes Received: 3,739
  Trophy Points: 280
  1 Slaa = 20 Vikwete's
   
 19. Domo Kaya

  Domo Kaya JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2010
  Joined: May 29, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  " huwezi kwenda ikulu kwa mke wa kuazima"
   
 20. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  [​IMG] weee DOMOKAYA unahitaji kufanyiwa oparesheni ya huo mdomo wako kwanza ndio utamke vizuri mke wa kuazima. Wewe mpaka umri huo umeshatafuna wake za watu wangapi?. Bora Dr. kajionyesha hadharani na hata mwenye mke kashindwa kujitetea. kama mke huwezi kumtunza si waachie wenzio. Angekuwa mkewe kweli huyo jamaa anayedai ni wake basi pangechimbika. Alitumika na mamluki kutaka kujizolea sifa sasa anaaibika. Mwache First lady wetu usianze kuleta za kuleta hapa.
   
Loading...