Babati vijijini & segerea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Babati vijijini & segerea

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Babasean, Nov 2, 2010.

 1. B

  Babasean Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wana JF wenzangu naomba nisaidieni na mnijuze matokeo ya majimbo haya kwa yeyote mwenye nayo.

  Nawakilisha
   
 2. K

  King kingo JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Segerea bado mambo hayaeleweki
   
 3. Ikimita

  Ikimita JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 302
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu vuta pumzi hadi kesho, bado miyeyusho tu.
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Subira inahitajika kwenye jimbo la Segerea kwani mafisadi wana'buy time ili wageuze nyekundu kuwa njano kitu ambacho abadan hakiwezekani.
   
Loading...