Nawapongeza jeshi la polisi kwa kuchoshwa na CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawapongeza jeshi la polisi kwa kuchoshwa na CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Johnsecond, Nov 2, 2010.

 1. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nimetaja CCM kwa sababu jana nilikaa na askari polisi pale ubungo kwenye vurugu ambaye alikuwa analalamika kuwa ucheleweshaji wa matokeo unasababisha vurugu lakini wa kulaumiwa ni NEC. Na walikuwa wanaongea na sisi kwa upendo kabisaa na hata kusema kuwa na wenyewe wamepiga kura pia na wamewachagua viongozi wanaowataka hivyo kitendo hicho kilikuwa kinawatia hasira na wao pia. Na nikiangalia kote ambako vurugu zilitokea polisi walitumia mabomu laini ya machozi hawakutumia nguvu zaidi. Nadhani huo ni mwanzo mzuri mageuzi yanakuja na polisi wanachoshwa na system mbovu maana madhara wanayapata na wenyewe mitaani.
   
 2. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wewe!!! Acha kutulocha
   
 3. N

  Nampula JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nadhani hata kikwete mwenyewe amechoshwa hii system yao....na yeye pia amempgia kura slaa
   
 4. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Pinda kampigia Slaa Pia...
   
Loading...