Kwa habari za tetesi zilizotoboka toka kwa umoja wa wakinamama ccm yasemekana kuwa hawakufurahishwa na ujio wa nakaaya na kwamba wanadai hamna nafasi ya binti huyo wa bongo fleva kuingia bungeni kwani wao wenyewe wana msururu wa watu wengi na kwamba hata kungekuwa na nafasi 50 asingepata, mmoja wa akina mama hao alinukuliwa "mh bora angebaki huko huko chadema hapa hana lake hata mzee(jakaya ) analifahamu hilo", nakaaya anaonekana kuleta mzozo mkubwa na anasababisha watu kutoelewana ndani ccm huku wengine wakidai , huyu ni malaya tu kaja tafuta midume.ila makamba amewahakikishia nafasi zao akina mama hao huku akidai nakaaya hana nafasi kwa muheshimiwa.:A S cry::A S cry::A S cry: