US:Election Leo Results Leo=Tz Election leo Results: Wiki Ijayo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

US:Election Leo Results Leo=Tz Election leo Results: Wiki Ijayo!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by VUVUZELA, Nov 2, 2010.

 1. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Yaani hata Hapa US wameanza kupiga kura za mid-term elections leo na matokeo ni leo leo. Tanzania watu wameanza kupiga kura Jumapili na hadi leo J'nne results za kueleweka hakuna. NEC mnapika matokeo? Ama ndio KASI PYA, WIZI MPYA NA MAENDELEO MAPYA?Mkwere na CCM mna kazi sana.
   
 2. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  CCM wanaweza kusema Tanzania ni kubwa kuliko Marekani. Jiografia yao hiyo si unasikia eti Segerea enao la jiografia ni kubwa kuliko Bukoba Vijijini. Wana vipimo vyao wanavyojua wao
   
 3. d

  dkn Senior Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 132
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tuwe realistic, US wako mbali kwenye technologia etc hatuwezi kujilinganisha na lakini ukweli ni kwamba NEC wako chini ya JK
   
 4. Mpenzi

  Mpenzi Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya pumba hizi, Utawezaje kulinganisha U.S na Tanzania? U.S wanapiga kura electronical wakati sisi tunatumia Kalamu na karatasi, Unaona tofauti hii? kama vipi rudi kwenu uunde tume yako ya kuhesabu kura.
   
 5. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Mpenzi, watu tumepiga kura hapa UK (last May0 kwa Kalamu na karatasi, kesho yake mchana tulikuwa na matokeo ya nchi nzima na zoezi la kupiga kura lilimalizika saa nne usiku. Kweli unataka kuamini kwamba kuhesabu kura za Segerea zinakuchua siku tatu!!!!
   
 6. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wewe ndie pumba!
  Kuhesabu hizo karatasi haichukui zaidi ya masaa manne. Acha ujinga
   
 7. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Acha ujinga!
  Hela ya kuitergrate electronic voting system hatuna lakini hela za EPA na Radar zipo? Kuhesabu hizo karatasi inachukua a few hours na sio days. Shwaini wewe
   
 8. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Basi hata kuhesabu hizo karatasi na ku-tally hayo matokeo ni issue?
   
 9. Mpenzi

  Mpenzi Member

  #9
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio Maana unajiita Vuvuzela sikulaumu..shwani wewe na bibi yako.
   
 10. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Acheni kutukanana. Ni ukweli usiofichika kwamba matokeo yamecheleweshwa bila sababu zinazoeleweka kwenye baadhi ya vituo.
   
Loading...