GE2010 Makamba na Ajenda ya Siri ndani ya CCM

GE2010 Makamba na Ajenda ya Siri ndani ya CCM

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,276
Reaction score
14,318
Makamba sio kiongozi ila mtapanyaji na kile anakiwaza ni uwaribifu and at the last ataaibika na kuumbuka. Ccm sio yake wala asifikiri ajenda yake yakuwatafutia wana ccm spika itafanikiwa bungeni. Naiman mpango wake utaaibika na kuwa aibu kubwa. Mungu ibariki Tz.
 
Makamaba anahitaji chuma makalioni ndo mdomo wake utatulia. sasa hivi hii janja yake ni kumtafutia mwanae fisadi uwaziri au uspika.
 
Makamba january anasubiriwa kwa hamu aape kisha aone mziki wake
 
huyu jamaa (makamba) hafai kabisa, nili-rate juu sana alipokua kiranja wa jiji lakini sasa, ah ana-boa!
 
Back
Top Bottom